halafu unakuta mtu mwengine kapewa dhamana ya either DED, RAS,DAS, DC, RC, waziri, naibu waziri, katibu mkuu au Jaji au mwenyekiti anawaonea wengine walio chini yake, wakati ukifa cheo kinachukuliwa na mwengine, huwezi kuzikwa na cheo chako sasa kwa nn unawataabisha walio chini yako?Hapa ndo nakumbuka usemi wa motivation speaker kwamba huwezi kurithisha ajira yako. Ona sasa huyu kaondoka tu tayari ajira yake imeanza mchakato wa kuchukuliwa ili kazi isilale wakati huohuo familia inafikiria jinsi ya kujipanga kuishi bila mleta mtu wa kuziba pengo lililoachwa na mleta mkate wa kila siku.
kwa unaunda zengwe ili mtu afukuzwe kazi?
binaadamu wengine ni zaidi.ya wanyama pori.