Hebu turudi kuleee enzi za kusoma hasi na chanya.
Hasi+hasi=?
Chanya+chanya=?
Hasi-chanya?=?

Sasa ipo hivi piga ua garagaza makamo wa raisi ni lazima atofautiane na raisi katika vigezo vifuatavyo.
1.Jinsi/jinsia
Hapo lazima awe wa kiume
2. Dini
Hapo lazima atofautiane Na samia. Ikiwa samia anaingia msikitini basi lazima makamu wake awe mtu wa kuingia kanisani na kinyumechake ndio ukweli wenyewe.

Sasa nimepitia mijadala mbalimbali naona ya kwamba January makamba anatajwa kushika nafasi hiyo hilo naomba asahau.

Kuna mtu anaitwa bashiru huyo nae asahau, vigezo hapo juu vinamtupilia mbali.
Majaliwa nae vilevile hata baada ya baraza kuvunjwa(ikitokea sio waziri mkuu) naye hawezi kuwa makamu.

Utaniuliza nimepekua katiba gani kuja na maelezo haya nami nitakujibu hakuna katiba niliyopekua na pengine hayo hayamo, ila uongozi wa kitanzania tangu anzi na enzi umeangukia ktk vigezo hapo juu.
Usiku mwema poleni niliowakera.

Nipo tayari kuja kuomba radhi endapo moja ya majina hapo juu yakipitishwa.
Hivi Ghalib Bilal alikuwa makamu wa Rais wa Rais mwislamu? Mtoa mada acha kukariri hakuna sheria hiyo hizo ni hisia tu
 
Hebu turudi kuleee enzi za kusoma hasi na chanya.
Hasi+hasi=?
Chanya+chanya=?
Hasi-chanya?=?

Sasa ipo hivi piga ua garagaza makamo wa raisi ni lazima atofautiane na raisi katika vigezo vifuatavyo.
1.Jinsi/jinsia
Hapo lazima awe wa kiume
2. Dini
Hapo lazima atofautiane Na samia. Ikiwa samia anaingia msikitini basi lazima makamu wake awe mtu wa kuingia kanisani na kinyumechake ndio ukweli wenyewe.

Sasa nimepitia mijadala mbalimbali naona ya kwamba January makamba anatajwa kushika nafasi hiyo hilo naomba asahau.

Kuna mtu anaitwa bashiru huyo nae asahau, vigezo hapo juu vinamtupilia mbali.
Majaliwa nae vilevile hata baada ya baraza kuvunjwa(ikitokea sio waziri mkuu) naye hawezi kuwa makamu.

Utaniuliza nimepekua katiba gani kuja na maelezo haya nami nitakujibu hakuna katiba niliyopekua na pengine hayo hayamo, ila uongozi wa kitanzania tangu anzi na enzi umeangukia ktk vigezo hapo juu.
Usiku mwema poleni niliowakera.

Nipo tayari kuja kuomba radhi endapo moja ya majina hapo juu yakipitishwa.
Prof Mark Mwandosya.
 
Twende na Lukuvi, January bado dogo sana... Angalizo: mh. Lukuvi ukipewa nafasi usije kumletea mama etu umuch know kisa una Uzoefu wa muda mrefu serikalini! Pia usithubutu kuanza harakati za kuutaka urais! Juhudi zozote za kumkwamisha mama samia kwa maslahi yako binafsi zitakutokea puani!
 
Labda kakutuma. Iliwahi kumuona Kabudi akiongea jambo la maana zaidi ya propaganda? Na uongo. Mbona mna turudisha nyuma jamani. Hawa maprof wa Dr Jpm nadhani wote wamefeli. Hata Msukuma daras la saba H alikuwa ana waambia bungeni.
Kweli wengi wa maprofesa na madokta sasa warudi kufundisha,maana wameshajifunza kwa vitendo wa yale waliyokuwa wanafundisha,watajitathimini na kuelewesha wanafunzi namna ya kuishi na wanasiasa huku wakiweka mizania ya taaluma na elimu kwa vitendo unapokuwa unashughulika na masilahi ya nchi na wananchi.
 
Samia mama.
Kichwa kitakuuma.
Na mimi nomba uwasamehe masheikh wa uamsho.
Maana kila anaomba lake
 
Kwani wakati ule wa teuzi za mawaziri,maRC MaDc etc ulipokuwa unapendelea upande mmoja si mlisema tuangalie uchapa kazi na sio DINI? Sasa leo nini tena,atakaeteuliwa yoyote atafaa cha msingi anauwezo wa kufanya kazi ipasavyo

UMEONAEEH WANAFIKI SANA HAWA LEO NDIO WANAJUA KU BALANCE
 
Napendekeza Palamagamba Kabudi afanywe Makamu wa Rais kwa sababu zifuatazo.

Kwanza Kabudi ana maono. Pili anajiamini kama JPM.Tatu elimu inakidhi viwango

Nne na mwisho utendaji kazi wake sina mashaka nao. Hakika atainyoosha nchi hii akiwa na mama jembe Kiboko ya Vidomodomo.

#hayana chama maendeleo!!
Nakubaliana kabisa na wewe. Huyo ndiye mtu sahihi kwa nafasi hiyo.
 
Haya mambo ya mchague huyu mchague yule ndo mambo aliyokuwa hayataki magufuli.
Tumuache mwenyewe achague.
 
Twende na lukuvi january bado dogo sana... Angalizo: mh. Lukuvi ukipewa nafasi usije kumletea mama etu umuch know kisa unaUzoefu wa mda mrefu serikalini! Pia usisubutu kuanza harakati za kuutaka urais! Juhudi zozote za kumkwamisha mama samia kwa maslahi yako binafsi zitakutokea puani!

Mpaka hapo hafai huyo Lukuvi.
 
Ni kweli.. Ila kwa jinsi Bashiru alivyomganda Madam President nadhani atamsumbua sana kocha kupanga kikosi.

Na Madam awe makini sana na huyu. Huwa anakaba balaa, ila kwa maslahi yake tu. Hiyo tabia yake ya kukaba siipendi, nahisi anakera.!
 
Back
Top Bottom