Hivi Ghalib Bilal alikuwa makamu wa Rais wa Rais mwislamu? Mtoa mada acha kukariri hakuna sheria hiyo hizo ni hisia tuHebu turudi kuleee enzi za kusoma hasi na chanya.
Hasi+hasi=?
Chanya+chanya=?
Hasi-chanya?=?
Sasa ipo hivi piga ua garagaza makamo wa raisi ni lazima atofautiane na raisi katika vigezo vifuatavyo.
1.Jinsi/jinsia
Hapo lazima awe wa kiume
2. Dini
Hapo lazima atofautiane Na samia. Ikiwa samia anaingia msikitini basi lazima makamu wake awe mtu wa kuingia kanisani na kinyumechake ndio ukweli wenyewe.
Sasa nimepitia mijadala mbalimbali naona ya kwamba January makamba anatajwa kushika nafasi hiyo hilo naomba asahau.
Kuna mtu anaitwa bashiru huyo nae asahau, vigezo hapo juu vinamtupilia mbali.
Majaliwa nae vilevile hata baada ya baraza kuvunjwa(ikitokea sio waziri mkuu) naye hawezi kuwa makamu.
Utaniuliza nimepekua katiba gani kuja na maelezo haya nami nitakujibu hakuna katiba niliyopekua na pengine hayo hayamo, ila uongozi wa kitanzania tangu anzi na enzi umeangukia ktk vigezo hapo juu.
Usiku mwema poleni niliowakera.
Nipo tayari kuja kuomba radhi endapo moja ya majina hapo juu yakipitishwa.
Prof Mark Mwandosya.Hebu turudi kuleee enzi za kusoma hasi na chanya.

Wanapata tabu sana, waache Magu apumzishwe ktk nyumba yake ya milele.Naona mnaanza kujipigia chapuo muendelee mlipoishia wakati watu wanatarajia mabadiliko!
Kweli wengi wa maprofesa na madokta sasa warudi kufundisha,maana wameshajifunza kwa vitendo wa yale waliyokuwa wanafundisha,watajitathimini na kuelewesha wanafunzi namna ya kuishi na wanasiasa huku wakiweka mizania ya taaluma na elimu kwa vitendo unapokuwa unashughulika na masilahi ya nchi na wananchi.Labda kakutuma. Iliwahi kumuona Kabudi akiongea jambo la maana zaidi ya propaganda? Na uongo. Mbona mna turudisha nyuma jamani. Hawa maprof wa Dr Jpm nadhani wote wamefeli. Hata Msukuma daras la saba H alikuwa ana waambia bungeni.
Kwani wakati ule wa teuzi za mawaziri,maRC MaDc etc ulipokuwa unapendelea upande mmoja si mlisema tuangalie uchapa kazi na sio DINI? Sasa leo nini tena,atakaeteuliwa yoyote atafaa cha msingi anauwezo wa kufanya kazi ipasavyo
Nakubaliana kabisa na wewe. Huyo ndiye mtu sahihi kwa nafasi hiyo.Napendekeza Palamagamba Kabudi afanywe Makamu wa Rais kwa sababu zifuatazo.
Kwanza Kabudi ana maono. Pili anajiamini kama JPM.Tatu elimu inakidhi viwango
Nne na mwisho utendaji kazi wake sina mashaka nao. Hakika atainyoosha nchi hii akiwa na mama jembe Kiboko ya Vidomodomo.
#hayana chama maendeleo!!
Utakuwa mumiyani ndio maana humpendi. Au huna uelewa sahihi juu yakedah, kweli Tanzania tumefikia hapa kuhitaji watu kama kina Kabudi?
Toa maoni yako. Sasa ukishakuwa Kima ndio unakuwaje kwa mfano. Watu wenye makengeza ya akili utawajua tu. Kabudi ndiye alisimamia mabadiriko ya mikataba ya madini ambayo awali tuliliibiwa kama taifa. Na mengineKima
Twende na lukuvi january bado dogo sana... Angalizo: mh. Lukuvi ukipewa nafasi usije kumletea mama etu umuch know kisa unaUzoefu wa mda mrefu serikalini! Pia usisubutu kuanza harakati za kuutaka urais! Juhudi zozote za kumkwamisha mama samia kwa maslahi yako binafsi zitakutokea puani!
Maoni yangu Kabudi anafaa sana
Ni kweli.. Ila kwa jinsi Bashiru alivyomganda Madam President nadhani atamsumbua sana kocha kupanga kikosi.