Huyu huyu Pinda ambaye mambo yakiwa magumu anaishia kulia? Sijui makamu wa rais mwanaume akilia mama samia atafanya nini? Kuweni serious afterall he is retired and tired too!
 
Kwanini unazungumzia 2025, hujui katiba inasema nini kuhusu muda wa kukaimu nafasi ya Urais??? Hujui kuna uchaguzi kuchagua Rais?? Mama Samia amewekwa kwa mujibu wa sheria inayotaka Raisi awe amepatikana kwa kuchaguliwa!!
Katiba ya nchi gani hiyo Mkuu?
 
Ni kweli. Unajua kifo cha Magufuli kinaweza kikaleta balaa kubwa sana.

Ccm wasipokuwa makini nchi inaweza kuchafuka!! Inabidi chama kikae mbali na ushauri wa Kikwete kwani atataka kulipiza kushindwa kwake kumuweka mtu wake 2015; hivyo sasa ataona nafasi ya kumchomeka kwa mlango wa Samia!!! Magufuli alimthibiti sana mkwere hivyo kwa udi na uvumba atajitahidi kushawishi mtu wake apenyeze!!
Msisahau enzi ya utawala wa Kikwete maliasili ya nchi iliporwa sana; tusipokuwa makini haya mambo yatajirudia tena.
 
Assad alitolewa kwa ufisadi wake na Dr. Dau pale NSSF! Ukitaka kujua kama tumeibiwa kwenye ununuzi wa ndege nenda kwenye WEBSITE ya BOEING!
Acha uongo! Prof. Assad ali tolewa kisa Auditing zake ni tight. Tz 1.5 Trillion. Hadi Ndugai aliingilia ugomvi. Kisa kusema Matibabu ya Mabilioni ya Ndugai India. Huyo Spika Akateua kampuni feki kumkagua Assad. Kujipendekeza ili Assad afukuzwe akawa ana peleka chunguzi za Bunge Ikulu.
 
Wekeni picha zao, maana haya mambo ya siasa wengine tulikuwa tunayaona kama gari la takataka tu, tunajari siku ipite
 
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina...

Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.

Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.

Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.

Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.

Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.

Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.

Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.

Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
 
Ni kijana. Musomi. Hana uchama (CCM au Uchadema). Ni mchapa kazi. Popote ana deliver. Eme deliver ELIMU Simiyu. Maendeleo popote alipo. Hana issue za show off-Ma camera/TV. Hapana. Ana utu. Hawezi dhalarisha mtu jukwaani. Ni mcha Mungu. Ni mtoto wa Mkulima...
Ooohk sawa sawa Mkuu..Ahsante sana,basi kwa nukta yako itapendeza wampe kiti
 
Naskia Nchimbi keshapanda ndege toka Brazil anakuja kuweka mambo sawa, kile kikundi cha Kikwete kikirudi madarakani ndio basi tena, ngona tuone kama mama Samia ataruhusu huo ujinga utokee.
 
Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.

Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.

Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.

Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.

Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.

Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.

Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.

Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
 
Hivi Riadha ina pesa gani mkuu? Kupiga ni tabia ya mtu. Japo siyo kwamba hapigi. Ila cheo cha Mkuu wa Mkoa ana uwezo wa kupiga dili zaidi ya Budget yote ya nchi ya Riadha. RC Makonda kupitia cheo cha RC amepiga vingii.
Hela za Riadha au michezo hazina strictly audit, hasa yale mamichango ya marathon za mikoa ambazo zipo karibu kila mwezi. Hazifanyiki bila kibali cha RT. Labda ndio sababu ya wao kutaka uongozi.

Anyway, mimi sipo kwenye michezo nilisoma taarifa hizo mitandaoni kama hivi kwa hiyo siwezi sema nina uhakika jamaa alikuwa mpigaji, ni tetesi tu. Kamati ya uchaguzi ilimkata jina lake kwenye huo uchaguzi, akaishia kwenye mchujo.
 
Natamani kuona huyu Waziri Mkuu wa sasa akifyekelewa mbali. Mtu muongo abakie zake huko na uongo wake.
Ikiwa amesema uongo kwa makusudi kwa kweli haikubaliki, lakini huenda hata yeye aliaminishwa anazungumza na muheshimiwa lakini huenda ulikuwa usanii wa kitengo, hivyo tusimuhukumu moja kwa moja kwani kuna mambo yanafanyika yapo nje ya ufahamu wetu.
 
Back
Top Bottom