Mama yetu hatutaki kuchoka kukushauri kwa kutambua mzigo ulio nao mbele ya safari. Hivyo unahitaji mtu makini sana wa kwenda na wewe sanjari na siye mtu ambaye hatokusikikiza na ataanza kuhangaika na kujiandaa na 2025.

Huyu Makamu wa Rais lazima awe na sifa hizi;

1.Mwadilifu
2.Mnyenyekevu na mwenye upendo
3.Atoke katika kundi la mawaziri ambao hawajawahi kushindwa kazi walizopewa na mtangulizi wako JPM, hapa yupo LUKUVI, Philip Mpango,Prof Kabudi
4.Awe Coaching person na Mentor, Yaani mtu ambaye anaweza kuongea na umma akaeleweka
5.Asitoke katika kundi lolote hasa wanasiasa wanaotajwa kwenye Urais 2025.
6.Awe amepevuka vizuri katika mauala ya kigeni hasa kwenye diplomasia.
7.Asiwe mtu wa kuja kuchochea mgawanyiko katika jamii.

Kupitia sifa hizo naamini tutapa VP bora kabisa na mwenye kutii maelekezo yako Mama.
Wanaccm tunakupenda na tunakutakia majukumuemo.
 
gogoki kashawataja ma VP wajao.
 
Mtangulizi wake ameleta madhira mengi.

Makamu wa Rais asiwe na vinasaba vya mtangulizi wake. Tunataka Makamu wa Rais aliyestaarabika, mwenye akili timamu, anayejua utu, anayeheshimu demokrasia, haki za raia, uhuru wa vyombo vya habari, na wala asiwe mnafiki wa kumsifia Rais wakati wote kama alivyokuwa anafanya Kabudi, Mwigulu, Jafo kwa mtangulizi wako. Yeyote anayekusifu sana, atambue ni mnafiki, na hastahili kuwa msaidizi wako. vsp
 
Mama yetu hatutaki kuchoka kukushauri kwa kutambua mzigo ulio nao mbele ya safari. Hivyo unahitaji mtu makini sana wa kwenda na wewe sanjari na siye mtu ambaye hatokusikikiza na ataanza kuhangaika na kujiandaa na 2025.

Huyu Makamu wa Rais lazima awe na sifa hizi;

1.Mwadilifu
2.Mnyenyekevu na mwenye upendo
3.Atoke katika kundi la mawaziri ambao hawajawahi kushindwa kazi walizopewa na mtangulizi wako JPM, hapa yupo LUKUVI, Philip Mpango,Prof Kabudi
4.Awe Coaching person na Mentor, Yaani mtu ambaye anaweza kuongea na umma akaeleweka
5.Asitoke katika kundi lolote hasa wanasiasa wanaotajwa kwenye Urais 2025.
6.Awe amepevuka vizuri katika mauala ya kigeni hasa kwenye diplomasia.
7.Asiwe mtu wa kuja kuchochea mgawanyiko katika jamii.

Kupitia sifa hizo naamini tutapa VP bora kabisa na mwenye kutii maelekezo yako Mama.
Wanaccm tunakupenda na tunakutakia majukumuemo.
Kabudi tena?
Hakuna waziri anayestahili kwani wote hawakuchaguliwa bali waliteuliwa
Mpango mnaingiwa na huruma vile aliugua? Kwa ufupi hafai hana tofauti na Chenge au Hosea hawa wote dugu moja
January ana nafasi kubwa wengine kujipendekeza mno Lukuvi kidogo thou Ardhi bado madudu mengi
 
Profess Mussa Asad, CAG mustaafu ndiye unayefaa kuwa Makamu wa Raisi kwa sasa.
Busara Uwezo na Hekima zake zitaipaisha nchi.
 
Back
Top Bottom