Registered Nurse
Member
- Sep 8, 2021
- 6
- 8
DuuuhHawezi, ni mroho wa madaraka…
Alikuwa amesha anza kujipanga kugombea 2025, hii kesi itakula kwake, atakula miaka ndani, atakuja kutoka kwa msamaha wa Rais au rufaa baada ya kufunzwa na ulimwengu ustaarabu.