Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,129
Mbulula huyo, don't bother.Humu ndani watoto mmekua wengi hadi jukwaa limekua ka lawatoto..sasa kuhusu nani alimwalika mwenzie inasaidia nn hapa??
Mbulula huyo, don't bother.Humu ndani watoto mmekua wengi hadi jukwaa limekua ka lawatoto..sasa kuhusu nani alimwalika mwenzie inasaidia nn hapa??
Hilo jina tu lina ukakasi gatunduBwahahaaa..ukwel haubadiliki km kaalikwa..ila yeye asahau kualikwa gatundu...
Kwanza aalikwe kw lipi..wakati yeye ni zero brain
Humu ndani watoto mmekua wengi hadi jukwaa limekua ka lawatoto..sasa kuhusu nani alimwalika mwenzie inasaidia nn hapa??
Mbulula huyo, don't bother.
Kwhyo ku force uhuru kaomba kwenda chato ni uzee..akili za kitanzania bana...
Mbulula huyo, don't bother.
Kwhyo ku force uhuru kaomba kwenda chato ni uzee..akili za kitanzania bana...
Wote mnaobishania huo ujinga ni watoto eti kukaribishana nayo issue aseeKwhyo ku force uhuru kaomba kwenda chato ni uzee..akili za kitanzania bana...
Matusi ya niniHahaha JPM alipata kazi ngumu sana kumuweka uhuru sawa sababu alikua amepoteza matumaini kabisa ndio maana ikabidi aende extra mile kumpa Tausi wanne wapelekwe nyumbani kwake uhuru huenda wakabadilisha ile essence ya unyang'au na kuleta maarifa na utashi uliopo ikulu ya Tanzania.
Mimi ni mtanzania nime "endorse" kuwa hii ni takataka umeandika hapa.Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
Wanakwenda kumjuulia hali mama wa kiongozi mwenzao hana lolote.Hivi huyu Mzee wa chato ana manukato yepi hadi anafuatwa mzima mzima hadi kijijini kwake na marais?
Mimi ni mkenya nimethibitisha kuwa wewe umezaliwa kama matokeo ya mzazi wako mmoja kuchepuka.Mimi ni mtanzania nime "endorse" kuwa hii ni takataka umeandika hapa.
Aisee, kila mtu na saizi yake bana. Kenya wamezuru marais kama Erdogan wa Uturuki, PM Theresa May wa U.K, Benjamin Netanyahu wa Israel, Nicholas Sarkozy wa Ufaransa. Leo rais Museveni na rais Uhuru kutua Chato imekuwa ni breaking news? Hizi ligi zenu ni za kienyeji sanaaa!Rais wa Ufaransa alipozuru Kenya. M7, 'Kachapin' akielekea Chato.Spot the difference.
😂😂😂😂 Muheshimiwa Rais M7 kwanini unajiita "joto la jiwe"? Baada ya kukusikia ukisema hivi leo pale Chato humu ndani ulikuwa offline na haya maneno uliyaweka huku jana copyright 😁😁😁😁Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.