Tetesi: Baada ya Kenyatta, Museveni naye yupo safarini Kwenda Chato

Juzijuzi tu alikua China, Alivorudi next day kaenda Niamey kwe mkutano wa AU amerudi jana leo yupo Angola na kesho tena anakuja chato!!! Eh God bless him.
 
Kagame, museven na Tshekedi wamealikwa Angola na rais wao. Lengo ni usalama katika ukanda wa maziwa makuu. Hivyo wako njiani hao kwa Safari zao.
 
Hahaha JPM alipata kazi ngumu sana kumuweka uhuru sawa sababu alikua amepoteza matumaini kabisa ndio maana ikabidi aende extra mile kumpa Tausi wanne wapelekwe nyumbani kwake uhuru huenda wakabadilisha ile essence ya unyang'au na kuleta maarifa na utashi uliopo ikulu ya Tanzania.
Matusi ya nini
 
Karibu sana Mhe. Museveni. Somo moja kwako ni kujua umuhimu wa kubadilishana uongozi wa taifa. Tunajivunia Rais wetu wa awamu ya 5 na tukijaliwa tutakuwa na awamu ya 6 na kuendelea.
 
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
Mimi ni mtanzania nime "endorse" kuwa hii ni takataka umeandika hapa.
 
Aisee, kila mtu na saizi yake bana. Kenya wamezuru marais kama Erdogan wa Uturuki, PM Theresa May wa U.K, Benjamin Netanyahu wa Israel, Nicholas Sarkozy wa Ufaransa. Leo rais Museveni na rais Uhuru kutua Chato imekuwa ni breaking news? Hizi ligi zenu ni za kienyeji sanaaa!
mrojylwfs49rcdmzsx5c8a02d223553.jpg
Rais wa Ufaransa alipozuru Kenya. M7, 'Kachapin' akielekea Chato.
DWBLMr4WsAE_GC8.jpg
Spot the difference.
 
Ukisema hivyo hata hapa Tz kuna viongozi wakubwa kama Obama walim visit Kikwete aisee.
Aisee, kila mtu na saizi yake bana. Kenya wamezuru marais kama Erdogan wa Uturuki, PM Theresa May wa U.K, Benjamin Netanyahu wa Israel, Nicholas Sarkozy wa Ufaransa. Leo rais Museveni na rais Uhuru kutua Chato imekuwa ni breaking news? Hizi ligi zenu ni za kienyeji sanaaa!
mrojylwfs49rcdmzsx5c8a02d223553.jpg
Rais wa Ufaransa alipozuru Kenya. M7, 'Kachapin' akielekea Chato.
DWBLMr4WsAE_GC8.jpg
Spot the difference.
 
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
😂😂😂😂 Muheshimiwa Rais M7 kwanini unajiita "joto la jiwe"? Baada ya kukusikia ukisema hivi leo pale Chato humu ndani ulikuwa offline na haya maneno uliyaweka huku jana copyright 😁😁😁😁

Asante Muheshimiwa Rais M7 wa Uganda 😁😁😁

Back
Top Bottom