Tetesi: Baada ya Kenyatta, Museveni naye yupo safarini Kwenda Chato

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Hivi huyu Mzee wa chato ana manukato yepi hadi anafuatwa mzima mzima hadi kijijini kwake na marais?
Screenshot_2019-07-12_123452.png

Kagame naye nasikia anabisha hodi.

"First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win".
Mahatma Gandhi
 
Hivi huyu Mzee wa chato ana manukato yepi hadi anafuatwa mzima mzima hadi kijijini kwake na marais?View attachment 1151828

Kagame naye nasikia anabisha hodi.

"First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win".
Mahatma Gandhi
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
 
Hahaha JPM alipata kazi ngumu sana kumuweka uhuru sawa sababu alikua amepoteza matumaini kabisa ndio maana ikabidi aende extra mile kumpa Tausi wanne wapelekwe nyumbani kwake uhuru huenda wakabadilisha ile essence ya unyang'au na kuleta maarifa na utashi uliopo ikulu ya Tanzania.
 
Bwahahaaa..ukwel haubadiliki km kaalikwa..ila yeye asahau kualikwa gatundu...

Kwanza aalikwe kw lipi..wakati yeye ni zero brain
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
 
Tanzania ni Mecca/Jerusalem ya Africa tangu enzi za ukombozi, huyo Museven watoto wake wote aliwazaa akiwa Tanzania. Nchi pekee iliyokua ikipingana na ukweli ilikua ni Kenya, lakini kama ujuavyo huwezi kuzuia mvua, hatimae Uhuru Kenyatta amekubaliana na ukweli, ameamua kuja kuhufhuria hijja katika ardhi takatifu, kuanzia sasa Kenya itaanza kuwa na baraka za Mungu, karibu Museven na wewe upate baraka za Bwana. Tanzania Hoyeeeeeeeeee. No Tanzania, No East Africa, No SADC.
Kwamba wewe ndiye joto la Jiwe?????
 
Bwahahaaa..ukwel haubadiliki km kaalikwa..ila yeye asahau kualikwa gatundu...

Kwanza aalikwe kw lipi..wakati yeye ni zero brain
Hahahaha, nani amualike mvuta bangi huyo?, yeye mwenyewe alipiga Simu, Mara ya kwanza Magufuli alikausha hakupokea, Mara ya pili ndio akasema ngoja nimsikilize. Mazungumzo yakawa kama ifuatavyo;

Magu; Helo, nani anaongea?

Uhuru: Mimi Uhuru Kenyatta

Magu: Nikusaidie nini?

Uhuru: Ninataka kuja kukuona

Magu; Mimi nipo kijijini kwa mapumziko.

Uhuru; Tafadhali niruhusu nije hapo kijijini Nina shida ya kuzungumza na wewe.

Magu; Ongea tu hapa kwenye Simu nitakuelewa

Uhuru; Hapana ninaomba tu nije kupata baraka zako.

Magu: Unataka uje kukaa muda gani?

Uhuru; Siku Kumi au saba kama utaniruhusu

Magu ; Hapana sina huo muda

Uhuru ; Basi siku mbili

Magu; OK, harakisha kwasababu Museven pia ameomba kuja.

Uhuru; Asante sana, kesho nitakua hapo.

Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha
 
Wuhuhuuuuuu!!!ukwel hauwez badilika..hta ukitapa tapa vp..ila yeye asahau kualikwa gatundu ..zero brain atasaidia nn
Hahahaha, nani amualike mvuta bangi huyo?, yeye mwenyewe alipiga Simu, Mara ya kwanza Magufuli alikausha hakupokea, Mara ya pili ndio akasema ngoja nimsikilize. Mazungumzo yakawa kama ifuatavyo;

Magu; Helo, nani anaongea?

Uhuru: Mimi Uhuru Kenyatta

Magu: Nikusaidie nini?

Uhuru: Ninataka kuja kukuona

Magu; Mimi nipo kijijini kwa mapumziko.

Uhuru; Tafadhali niruhusu nije hapo kijijini Nina shida ya kuzungumza na wewe.

Magu; Ongea tu hapa kwenye Simu nitakuelewa

Uhuru; Hapana ninaomba tu nije kupata baraka zako.

Magu: Unataka uje kukaa muda gani?

Uhuru; Siku Kumi au saba kama utaniruhusu

Magu ; Hapana sina huo muda

Uhuru ; Basi siku mbili

Magu; OK, harakisha kwasababu Museven pia ameomba kuja.

Uhuru; Asante sana, kesho nitakua hapo.

Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom