Baada ya Kangi Lugola, nani kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,267
17,965
Baada ya mbabe kubabuliwa na kutumbuliwa hadharani tena kwa aibu kubwa, nani atavaa mikoba ya Waziri wa Mambo ya Ndani?

Tukumbuke Waziri atateuliwa kwa jicho la uchaguzi mkuu, 2020. Atakuwa mtu mpya kabisa? Au mmoja wa ma naibu waziri atapandishwa cheo? Au kuna mmoja atahamishiwa hapo toka wizara nyingine? Bila shaka tutashuhudia kuapishwa kwake ndani siku chache pale Ikulu Dar es Salaam.

Kunaweza kuwa na "movement" kwenye baraza la mawaziri. Wengine kuhamishwa nk. Lakini inaweza kuwa nafasi ya Jiwe kumuondoa self confessed Mzee wa Matunguli ambayo hulennga kumroga Jiwe ili asimwondoe kwenye wizara zente ulaji mkubwa labda kupita zote.

Kikubwa kilichonifurahisha ni kwamba Jiwe ameanza kutambua kwamba watu wanaopenda kumsifia sana wana mambo wanayaficha. Wanaandaa makongamano ya vitu hewa lakini lakini ni kumsifia ili kufunika uozo wao.

Update:

Jibu limepatikana. Simbachawene ndiye waziri mpya wa mambo ya ndani na nafasi ya uwaziri ya Makamu wa Rais (Muungano na Mzingira) imechuliwa na Iddi Azan Zungu.
 
Baada ya mbabe kubabuliwa na kutumbuliwa hadharani tena kwa aibu kubwa, nani atavaa mikoba ya Waziri wa Mambo ya Ndani?

Tukumbe Waziri atateuliwa kwa jicho la uchaguzi mkuu, 2020. Atakuwa mtu mpya kabisa? Au mmoja wa ma naibu waziri atapandishwa cheo? Au kuna mmoja atahamishiwa hapo toka wizara nyingine? Bila shaka tutashuhudia kuapishwa kwake ndani siku chache pale Ikulu Dar es Salaam.

Kunaweza kuwa na "movement" kwenye baraza la mawaziri. Wengine kuhamishwa nk. Lakini inaweza kuwa nafasi ya Jiwe kumuondoa self confessed Mzee wa Matunguli ambayo hulennga kumroga Jiwe ili asimwondoe kwenye wizara zente ulaji mkubwa labda kupita zote.

Kikubwa kilichonifurahisha ni kwamba Jiwe ameanza kutambua kwamba watu wanaopenda kumsifia sana wana mambo wanayaficha. Wanaandaa makongamano ya vitu hewa lakini lakini ni kumsifia ili kufunika uozo wao.

CCM ni ile ile, ile ile jamaa ,wajipanga na mwaka huu wataisoma ! Kawimbo kananikubusha mbali kweli kweli!
 
Baada ya mbabe kubabuliwa na kutumbuliwa hadharani tena kwa aibu kubwa, nani atavaa mikoba ya Waziri wa Mambo ya Ndani?

Tukumbe Waziri atateuliwa kwa jicho la uchaguzi mkuu, 2020. Atakuwa mtu mpya kabisa? Au mmoja wa ma naibu waziri atapandishwa cheo? Au kuna mmoja atahamishiwa hapo toka wizara nyingine? Bila shaka tutashuhudia kuapishwa kwake ndani siku chache pale Ikulu Dar es Salaam.

Kunaweza kuwa na "movement" kwenye baraza la mawaziri. Wengine kuhamishwa nk. Lakini inaweza kuwa nafasi ya Jiwe kumuondoa self confessed Mzee wa Matunguli ambayo hulennga kumroga Jiwe ili asimwondoe kwenye wizara zente ulaji mkubwa labda kupita zote.

Kikubwa kilichonifurahisha ni kwamba Jiwe ameanza kutambua kwamba watu wanaopenda kumsifia sana wana mambo wanayaficha. Wanaandaa makongamano ya vitu hewa lakini lakini ni kumsifia ili kufunika uozo wao.

Nikikumbuka jinsi ambavyo Kangi Lugola alivyokuwa akijipendekeza kwa Bosi wake Mkuu ambako Kwangu Mimi naona Kulipitiliza leo hii nikisikia ameandika Barua ya Kujiuzuru Nafasi yake hiyo na Bosi wake amekubali nabaki Kushangaa na Kujiuliza hivi baadhi yetu tukiwa tunajipendekeza kama siyo kujikomba kwa Wakubwa ( Mabosi ) wetu huwa tunategemea nini na je, huwa hatujui kuwa kuna Kesho na muda wowote mambo huwa yanageuka? Hata hivyo kwa Maoni yangu naona ni kama vile hata Bosi Mkuu nae alimchelewesha sana Kangi Lugola kumtoa katika hiyo Nafasi yake na sikumbuki kama hiyo Wizara ilibahatika huko nyuma kupata Waziri ( Bogus ) kama huyu Mcheza Dansi Mwandamizi aliyeondoka muda mchache tu uliopita KL.
 
Lakini pia wakazi wa Jimbo lake wanamshukuru Mungu kwa vile sasa atakuwepo huko na kuhakikisha ile barabara ya kutoka Bunda hadi Kisorya inakamilika. Karibu sana Jimboni.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom