#COVID19 Baada ya kampeni ya chanjo za COVID-19 kudoda, Askofu Gwajima kuwa mbuzi wa kafara?

Rais Samia: "Gwajiboy oyeeeee"

Wananchi Kawe: "Oyeeeeeee"

Rais Samia: "Tunachanjaa, hatuchanjii??"

Wananchi Kawe: "Hatuchanjiiiiii"!

Rais Samia: "Mh mbunge endelea..."

Wananzengo wasiojifunza 'to expect the unexpected' basi waendelee kunywa kahawa.

-Kaveli-
 
Magufuli ameshakufa kijana. Tafuta namna nyingine ya kuishi.

Tanzania kuna chanjo zaidi ya 60..

Kila siku wanawakae na watoto wanapokea chanjo kila iitwapo siku na tena wasipozipata wanalalamika.

TT pekee inatolewa mpaka shots nne na watu wanaipata.

Kampeni ya COVID imekuwa ngumu kwasababu ha athari za akili ya kibwenhmgo Magu alizoacha.

Hata CCM wenyeqe naamini wamejifunza siyo kila mtu anaweza kuwa Rais. Magu was a total disaster.
Sawa!
 
Basi huyu Magu atakua na ushawishi mkubwa sana, suala la chanjo limeigawa dunia kuanzia huko zinakotengenezwa.
Kwetu tuheshimu maamuzi na hiari kama tulivyoambiwa, anaetaka achanje, anaeona tashwishwi asichanje. Hakuna sababu ya ugomvi.

Mleta uzi anaonya athari na kutoa tahadhari kwa wanaochanjwa kwamba kwa mwenendo unavyoenda, huenda dawa zikafikia muda wake wa kwisha matumizi zikiwa bado hazijatumika.

Akatoa wito kampeni na namba bora ya uhamasishaji ifanyike badala ya hii ya awali kutokuonyesha matokeo chanya.

Kwanini tunajikita kumshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja?

Tumeona hadi sasa hivi ndugu zetu wa Zanzibar waliochoma chanjo ya China kama sehem ya maandalizi ya kwenda hija wameambiwa wanatakiwa wachanje J&J au zingine zinatotambulika Saudia. Hayo ni mambo serikali ilitakiwa iwe mstari wa mbele kutolea ufafanuzi na kueleza nini kifanyike ili kuwatuliza wananchi. Vinginevyo taharuki zitaendelea.
Mimi nashangaa tunashambuliwa sisi wa legacy ya magufuli ,wanao tushambulia ni wabunge wa ccm na viongozi wa upinzani akiwemo GAIDI MBOWE tena mbowe alisema kabisa chanjo iwe lazima tena chadema wanasema magufuli hakupata wapiga kura wengi nguvu ya dola ilitumika sasa ukitaka kujua ukweli wa hayo ni hii chanjo mama samia kaleta chanjo milioni moja 1 sasa kwanini makada na wanachama wa ccm ambao ni mamilioni + makada na wanachama wa chadema wakiongozwa na mbowe ambao ni zaidi ya mamilioni wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja ndani ya week moja tu huu ni ushahidi wa ushindi wa magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 kuwa watu walimkubali magufuli ,, maana wanasema team magufuli ni ndogo na magufuli legacy ni dhaifu
KAMA MAGUFULI NI MWEU AU ALIKUWA RAISI WA OVYO kwanini makada wa chadema na wanachama wa chadema wenye akili wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja tu ?????? Je kwanini makada na wanaccm wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja tu ? Huu ni ushahidi kuwa MAGUFULI THE GREAT
 
Kama ilivyo kawaida yenu na wauza chanjo, badala ya kushambulia hoja kwa nguvu za hoja badala yake unashambulia mleta hoja kwa matusi na hoja za nguvu.

Mimi nikitafuta namna nyingine ya kuishi hujui kuwa na wewe itabidi utafute namna nyingine ya kuishi kwa sababu inaonekana maisha yako yanategemea uwepo wa mada zangu hapa Jamiiforums ili uzijibu hata kwa hoja za kijinga kama ulivyofanya ili upate ujira wako!

Eti kwa sababu kuna chanjo zaidi ya 60 kwa hiyo wananchi walazimishwe hata chanjo ambazo zimeleta mgawanyiko mkubwa kwa wataalam kule zinakotoka.

Hujui kama chanjo zingine mpaka kupewa binadamu zilipitia mfumo unaotambuliwa kimataifa ambao pia sio mfumo unaotumika sasa wa “emergence administered” ambao dhumuni lake kuu ni uchumi kwanza?
Achana nao hao,hao akili zao zimeganda.
Wanapiga kelele wao hawajachanja
 
Mimi nashangaa tunashambuliwa sisi wa legacy ya magufuli ,wanao tushambulia ni wabunge wa ccm na viongozi wa upinzani akiwemo GAIDI MBOWE tena mbowe alisema kabisa chanjo iwe lazima tena chadema wanasema magufuli hakupata wapiga kura wengi nguvu ya dola ilitumika sasa ukitaka kujua ukweli wa hayo ni hii chanjo mama samia kaleta chanjo milioni moja 1 sasa kwanini makada na wanachama wa ccm ambao ni mamilioni + makada na wanachama wa chadema wakiongozwa na mbowe ambao ni zaidi ya mamilioni wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja ndani ya week moja tu huu ni ushahidi wa ushindi wa magufuli kwenye uchaguzi wa 2020 kuwa watu walimkubali magufuli ,, maana wanasema team magufuli ni ndogo na magufuli legacy ni dhaifu
KAMA MAGUFULI NI MWEU AU ALIKUWA RAISI WA OVYO kwanini makada wa chadema na wanachama wa chadema wenye akili wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja tu ?????? Je kwanini makada na wanaccm wameshindwa kumaliza chanjo milioni moja tu ? Huu ni ushahidi kuwa MAGUFULI THE GREAT
Mkuu, mziki wa MAGUFULI sio wa kitoto.Anapambana na walio hai na bado wanamshindwa!!
Wanaojiita wasomi wamebakia kulalamika tu.
 
Mkuu hili jambo la chanjo linaonekana kwenye macho ya kawaida kabisa kwamba ni usanii. Chanjo imeshindwa kabla ya kuanza.

Kwa hili la chanjo Gwajima ataonekana mshindi ndani ya muda mfupi ujao.

Tanzania imejiingiza kwenye madeni yasiyo na kichwa wala miguu, iko wazi kwamba hii wastage of public resources. Tumechukua mkopo matrilioni kununua madawa ambayo hayana faida yoyote, mengi yataharibika kabla ya kutumika, pili mengi hayatatumika kwa sababu ya anti vaccine sentiments iliyojengeka Tanzania na mwisho huu utaratibu wa chanjo ukiendelea hivi maana yake tutahitaji miaka si chini ya 15 kuchanja population iliyopo sasa ya 60m.

Na kwa 15 years hatutakua hii hii population ya sasa ya 60m, tutakua zaidi maana yake hii chanjo itakua ni life time, endless chanjo jambo ambalo halipo.

Juzi nimesikia wanasema wanatoa chanjo ya ukimwi, na UN imeapa kufikia 2030 wawe wameangamiza ukimwi. Kwa maana kwamba wamepiga pesa za kutosha kwenye ukimwi sasa wanaleta dawa yake, biashara mpya ni covid 19.

Sina cha kuongeza kwenye hoja yako!

Yaliyo katika fikra na mtazamo wangu umeyasema yote.

Wahengavwalisema, kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza!
 
Tukiwaambia kila mara kuwa CCM imekosa watu sahihi wa kuongoza,mnatunanga!
Huu ndio uthibitisho wa kuwa Chama "twawala" hawana jambo jema lolote kwa taifa hili. Uwezo wao wa kufikiri na kutenda kama binadamu aliye timamu umefika tamati.
Hakuna jambo jema toka kwa watu walewale wa chama kile kile.

Chama gani ambacho kiko tayari kuwaongoza watanzania nje ya CCM?
 
Back
Top Bottom