Baada ya Juma Nkamia, sasa ni zamu yangu.

Gerald Robert

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
337
219
Juma Nkamia (ccm) => Nitapeleka mswada bungeni kuomba Muda wa Rais, Wabunge na Madiwani uwe ni miaka 7 (saba)

John Heche (chadema) => Nitapeleka mswaada bungungeni kuomba kupunguzwa kwa muda Rais, Wabunge na Madiwani kuwa ni miaka mi4 badala ya mi5.

Gerald Robert (HPP)=> Nitawasilisha hoja binafsi bungeni kuomba kufutwa kwa mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa, tupige kura kuamua ni Chama gani kishike dola, baada ya hapo vyama vyote vifutwe, na tume ya uchaguzi ivunjwe.
 
Back
Top Bottom