Baada ya JF kumfungia ,Malaria sugu ahamia gazeti la mwananchi

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Nimeoana Comment za malaria sugu akichangia katka mijadala mbali mbali kupitia mtandao wa mwanachi.
lkn bado anajaribu kuitetea CCM na kuiponda Chadema.

mimi na Ms ni watu wa karibu sana, sio kiitikadi,
 
Na kweli malaria sugu sijamskia siku nyingi sana. ama ndo wale wamezirai baada ya rostam kuvua gamba?
 
Nimeoana Comment za malaria sugu akichangia katka mijadala mbali mbali kupitia mtandao wa mwanachi.lkn bado anajaribu kuitetea CCM na kuiponda Chadema.mimi na Ms ni watu wa karibu sana, sio kiitikadi,
Malaria sugu kapigwa bani rini? tena
 
Nimeoana Comment za malaria sugu akichangia katka mijadala mbali mbali kupitia mtandao wa mwanachi.
lkn bado anajaribu kuitetea CCM na kuiponda Chadema.

mimi na Ms ni watu wa karibu sana, sio kiitikadi,

Tunataka kula Matanga ya Marehemu Malaria Sugu! Tulipenda ila MOD walimpenda zaidi

RIP MS
 
rest in eternal peace MS nadhani hutarudi tena kuchafua hali ya hewa humu kwa great thinker
 
nimegundua kuwa MS ndiye member anayependwa zaidi humu jamvini na akikosekana pengo lake huonekana.ona sasa watu wanavyomuulizia huku wengine wakijifanya wanataka afungiwe maisha wakati ndo wachangiaji wakubwa wa post za MS hata kama zinawakera
 
Nadhani ni kutokana ma hoja zake... Anapenda kuleta thread ambazo anaelewa Kabisa atakasirisha wengi na wengi Watachangia... na comments zote ni nzuri Kwake sababu anaongeza umaarifu JF na Anapata attention za wengi.. mfano (Hii thread ).. na kweli kajivunia umarufu............
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom