lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,376
- 21,836
Watanzania ni hodari sana kubishania kitu cha kitaalamu iliyo nje ya taaluma yake. Shame onj us hii ni laana. Mimi kamwe siwezi kubishana na mtaalamu kwa eneo ambalo sijalisomea wala sina technological knowhow. Labda itokee wataalamu kwa wataalamu wao kwa wao wakibishana. Sisi tusio wataalamu tuulize maswali yakijibiwa turidhike kama bado uliza tena ila usibishane. Nenda kabishanie taaluma yakowho told you wameshindwa? paypal inafanya kazi tanzanaia? itunes je? we unadhan nan anahusika apa? mimi naona watanzania acha tuendelee kuonekana mapompo tu maaana hii ni aibu ata watu wanaokuja kutalii wakikutana na mada kama yako ni wanazimia tu! TCRA wana control rwanda, baadhi ya uganda na kuna plans za kufikisha mpaka zambia!
hakuna mtandao wa simu unaojiweza apa tanzania bila TCRA, yaani internet wanawauzia wao, centre fibres (mkongo) ni wao yaani uwaze mara mbili
watu hawajui ata TCRA ndo wanaowauzia internet mitandao ya simu yote Tanzania, na hizo nchi nmekutajia! ni aibu kubwa kwa tulipofikia mtu anakwambia TCRA imeshindwa kuzima jamiii forum, kaa ukijua kuna baadhi ya serikali afrika hua wakikutana na mada kama hizi hawazimi tu jamii forum bali wanazima internet nzima! nahisi hili likitokea mtawapa heshima kazi kubwa wnaofanya TCRA, ni kweli kwamba una uhuru wa kuongea kwa sababu internet unayo na ukadhan bila internet maisha yako hayatayumba!
fikiria mara mbili tu kabla hujaamua kutoa matamko yako, miaka ya nyuma kidogo google ilizima na asilimia 40% ya internet nzima ilipotea hapo ndo vichochea vya vita ya 3 ya dunia ilianza mpaka leo. fikiria mara mbili kabla hujaongea upuuzi tena