Baada ya Jaji Mustafa Siyani kuteuliwa kuwa Jaji Kiongozi anaweza kuendelea kusimamia kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake?

Hakuna kitakachomzuia kuendelea. Ila hata Kama itabidi, Labda kwa sababu yoyote ya kiutawala, kuwa ajitoe, Bado atawajibika kutoa uamuzi wa kesi ndogo aliyokwisha kuisikiliza iwe kwa yeye kuisoma hiyo tarehe 19 au kuiandika na isomwa na successor wake
 
Back
Top Bottom