Baada ya Jaji Augustino Ramadhani kukana kiapo chake, Kanisa la Anglicana TZ litoe ufafanuzi

Mkuu, hata Roman Catholic huwa hakuna kitu hicho cha kumwabudu Bikira Maria. Ni propaganda tu za waprotestant ili wahalalishe kuanzisha makanisa mapya na pengine kujitengenezea fursa za mapato. Bahati mbaya wanawakaririsha watoto wao kuwa RC wanamwabudu Bikira Maria na watoto nanyi mnaendeleza wimbo huo huo

Mkuu kwanza mie ni mprotestant na sisemi kwamba wakatoliki (roman catholic) wanaamuabudu Mary.Bali kigugumizi changu ni titles nyingine za Mary hasa ya "Co-mediatrix" ,,, vile vile waprotestant wengi wanapata utatanishi na dogmas tatu nyingine za Mary yaani Immaculation of Mary,Perpetual virginity of Mary,Assumption of Mary japo mimi inayonipa ugumu ni Assumption of Mary.
Halafu mkuu Marianology(Mary ideologies/ theologies) hazikuwa sababu kuu za mojamoja(direct reason) za reformation movement (Protestant refirmation) kwasababu reformer wakuu wengi hasa Luther/Calvin walikuwa wanampenda na kumkubali Mary sana , I hope unajua indulgence selling ndio ilikuwa trigger kuu.Halafu hizo dogma tatu za hapo juu zilikuwa hazijawa explicitly stated as dogma though vielelezo vya doctrine hizo vilikuwepo tokea zamani zimekuja kusisitiziwa kama dogma (1854 na kwenye Vatican 2) .
Mwisho lazima nikubali kweli kuna wimbi kubwa la waprotestanti kutokana na kutokuwa na uelewa wanawatuhumu Wakatoliki vitu ambavyo sio vya kweli na hii ni kutokana na "fanatic actions and reactions of reformation and counter reformation" hasa baada ya European religious war ....
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom