You are wrong Mkuu.Anglicana Ina mapadre
Anglican haina mapadre wewe...hivi unajua maana ya "padre"?
Anglican in wachungaji
Lame excuse!Tony Blair alihama Catholic kwenda Anglican kwa ajili ya uongozi, baada ya kumaliza uongozi wake akarudi tena Catholic,
Haitakuwa mara ya kwanza kwa mwanasiasa kuacha mambo ya kiimani kisa uongozi
Mkuu mimi nafahamu hivyo pia kwa kuwa wakati naishi visiwani jirani yetu mmoja alikuwa ni Padre wa Anglican na ndivyo alivyokuwa akiitwa.Anglican High Church hutumia majina vyote Padre/Father au Mchungaji. Maana ya Padre ni Father, Baba; na Askofu na Mchungaji ni Padre.
Vv
Kwanini mnatumia muda mwingi kujadili masuala yasiyo na maana. Awe padre au shekhe sio dhambi yeye kuchukua fomu ya kuwania urais kwakuwa nayo ni kazi ya kuchunga kondoo wa bwana. Mbona tumeongozwa na masheikh wengi tu akina rais mwinyi na karume? Mbona hadi sasa mchungaji msigwa na rwakatale bado wanafanya kazi ya kanisa?. Kama anafaa apewe nafasi na mnaompinga twambieni wakwenu ni akina nani?
Taifa sasa lipo njia panda linahitaji serious player, viongozi wa kiroho ndio lilikuwa tegemeo la mwisho lakini imejidhihirisha wazi sasa ni heri hata ya waganga wa kienyeji, alianza vituko Cardinary Pengo akaja Gwajima na sasa ni Padre Augustino Ramadhani. Hebu twende pamoja ili tuelewane kwa hoja.
Tukiacha yote hayo kwa kanuni za kanisa la high church au Anglo catholic church ambayo yeye Augustino Ramadhani ni padre wa canon law ya 1734 ac number 4559 iliyosainiwa na mkutano mkuu wa lamberth mtu aliyepata daraja takatifu kwa maana shemasi, padre, canon, vicar au Askofu haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa maana anahudumia watu wote na haruhusiwi kugombea cheo cha mamlaka ya kisiasa ya dunia hii maana yeye mamlaka yatoka juu ambayo inaitwa clerical authority!
Sasa naongea kiutaalam na taaluma ya sheria za kanisa Padre Augustino Ramadhani aliyajuwa haya why alikubali daraja takatifu?!
Jaji ni mtu mzuri sana, mcha Mungu, mnyenyekevu, na mpenda haki! sijui why ameamua kuona katiba inavunjwa na kama katiba si kitu maana inatengenezwa na watu je sheria za kanisa la Mungu zinazomzuia pia hajaziona?!!!!!
Au ndio tuamini sasa andiko lataka kutimia kwamba Mungu akitaka kuungamiza utawalawa huunyima maono?
Karibuni tujadili.
CC: Mzee Mwanakijiji Pasco Mkandara Mchambuzi
Wewe kichwani ni bure kabisa, Anglican ina mapadre kama upo Dar njoo leo Saint Alban ukutane na mapadre.
Wewe kichwani ni bure kabisa, Anglican ina mapadre kama upo Dar njoo leo Saint Alban ukutane na mapadre.
Bila shaka wewe ndiye hujui ulisemalo.
Huyu ni Askofu wa Kanisa la Anglikana na siyo Padre.
Hakuna nafasi ya Padre katika Kanisa Anglikana, bali kuna Mchungaji na Askofu tu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!