Baada ya Jafo, mwingine aibuka CCM

Hata kumeza mate?!..jamani kama pelepete ingelikuwa ndio teknolojia basi ccm ingeshapeleka kada kwenye Mars
 
Halafu Lugola anayedanganya kila siku eti jana anamdanganya Magufuli kwa kunukuu kifungu cha Biblia, kisha hapo hapo anajigeuza mungu wa kumlinda!!!
Huyu hapa
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Natamani ningekuwa naweza ongea hivi, kwa speed sahihi na unavuta attension ya watu.
 
Back
Top Bottom