Baada ya incomplete abortion na kufanyiwa MVA side effects zipi atazipata?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kuna binti alitumia dawa za misoprostol kwa ujauzito wa siku 25,but kutokana na maelezo yake nikagundua bado inshu haijatoka yote

Akapelekwa medical na kusafishwa (Manual Vacuum Aspiration) akapewa na antibiotics akarudi home

Sasa nauliza baada ya kufanyiwa hii procedure nini kitafuata na wakati gani atakua fresh kabisa na mzunguko wake wa hedhi kuanza tena???
 
Badala ya kumuuliza Dr aliyemfanyia yote hayo unakuja kuuliza siye kanjanja?
Jibu lake ni kwamba ili arudi kwenye normal life aungame dhambi yake ya mauaji kwa Mungu. Na wewe uliyekuwa mastermind wa hilo nenda kwa mkuu wako wa dini pamoja na kukutubisha avunje na laana za urithi wa mauaji katika ukoo wenu.
 
Kuna binti alitumia dawa za misoprostol kwa ujauzito wa siku 25,but kutokana na maelezo yake nikagundua bado inshu haijatoka yote

Akapelekwa medical na kusafishwa (Manual Vacuum Aspiration) akapewa na antibiotics akarudi home

Sasa nauliza baada ya kufanyiwa hii procedure nini kitafuata na wakati gani atakua fresh kabisa na mzunguko wake wa hedhi kuanza tena???
Hongera mfiwa kwa kuleta taarifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom