Baada ya igunga tunahamia udiwani wa kata ya kirumba,ktk jimbo la nyamagana,mwanza

Quick

Senior Member
Nov 4, 2010
153
23
natarajia kuiona chopa ya cuf ikitua mwanza na kuchukua angalau udiwani wa pale kata ya kirumba, mwanza ili kupoza manundu ya asilimia nne 4% tulioyopata pale igunga. Wana cuf wa mwanza tujipange ili tuwaondoe cdm pale kirumba..

Cuf ngangari?????

hakiiiiiiiii.............................
Haki sawa kwa woote..................
 
Heheheheee! huko ndo msiende kabisa mkuu. Mwanza ndiyo ngome kuu ya CDM. Hivi jamani udiwani wa mbeya mjini umeishia vipi kwa CDM?
 
Mimi naunga mkono hoja ila nawaomba CUF wakienda mwanza wajipange vizuri kunadi sera zao na sio kuanza kuipaka matope CDM, kwasababu igunga Hamad Rashidi alianza kuirushia madongo CDM, that is not good strategy for winning confidence from the public people are more interested on solutions to their problems and not personal attacks, also they should avoid incurring unnecessary costs of hiring helcopter.
 
Gharama zile si zao maana CUF hawana uwezo kutumia chopa .Hao CCM pekee wameiga likapotea angani .Gharama alilipa RA na CCM yake maana CUF si unajua wameolewa ?
 
natarajia kuiona chopa ya cuf ikitua mwanza na kuchukua angalau udiwani wa pale kata ya kirumba, mwanza ili kupoza manundu ya asilimia nne 4% tulioyopata pale igunga. Wana cuf wa mwanza tujipange ili tuwaondoe cdm pale kirumba..

Cuf ngangari?????

hakiiiiiiiii.............................
Haki sawa kwa woote..................

Ina maana alichotoa Julius Mtatiro humu kamba ile chopa waliikodi kwa siku tatu hukuona? Au unamtafuta Mtatiro na CUF a.k.a CCM B?
 
Nawaomba wana-CUF wote waishio Katika kata ya Kirumba tuungane tuonyeshe mfano pale tuchukue udiwani kata ya kirumba CDM,CCM na wengineo tutawachakaza vibaya sana,,4% TULIYOPATA IGUNGA INAUMA SANA YAANI,,SIKUBALI,,Machungu yetu tuhamishie pale Mwanza..tUTANYAKUA KITI HICHO KWA KISHINDO

HAKKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
HAKI SAWA KWA WOOOOOOOOOOOOOOTE (CDM,CCM,CUF,Et ceteraa)
CUF NGANGARI.................................
 
Mbona haueleweki, ni Kiswahili Kigumu au Umechanganyikiwa?
 
natarajia kuiona chopa ya cuf ikitua mwanza na kuchukua angalau udiwani wa pale kata ya kirumba, mwanza ili kupoza manundu ya asilimia nne 4% tulioyopata pale igunga. Wana cuf wa mwanza tujipange ili tuwaondoe cdm pale kirumba..

Cuf ngangari?????

hakiiiiiiiii.............................
Haki sawa kwa woote..................

CDM + CUF udiwani sawa pambaneni ila Ubunge na URAIS ni wa CCM mtu yeyote atakae thubutu kuingia anga hizo atagaragazwa km igunga
 
natarajia kuiona chopa ya cuf ikitua mwanza na kuchukua angalau udiwani wa pale kata ya kirumba, mwanza ili kupoza manundu ya asilimia nne 4% tulioyopata pale igunga. Wana cuf wa mwanza tujipange ili tuwaondoe cdm pale kirumba..

Cuf ngangari?????

hakiiiiiiiii.............................
Haki sawa kwa woote..................

kwanza vunjeni ndoa na ccm vinginevyo hamna chenu.umoja ya kipuuzi mlionao na magamba utawamaliza kabla ya 2015.
 
Back
Top Bottom