Baada ya hii picha kupigwa,mafisadi hayajawahi kupata usingizi kabisa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,425
Baada ya hii picha kupigwa kisha bulldoza likaingia,Tanzania haijawahi kuwa the same again.
12196347_973244286070451_1330998376108083372_n.jpg
 
acha utoto mkuu, mahakama ya mafisadi ipo haina kesi hata moja inakuwaje wakose usingizi na hawajawahi pelekwa huko.

mafisadi wako ccm na yuko nao na hana uwezo wa kufanya wakose usingizi
true...wamempiga ngwala!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom