Baada ya Hezbollah kuapa kulipa kisasi Israel yakimbilia UN

Mbona hutuwekei hiyo nakala ili tuone ukweli wa madai hayo? UN waandikiwe barua kuhusu Hizbollah, kwani Hizbollah ni wanachama wa UN?

Vv
Kama hizbollah sio wanachama wa UN,kwa nn kuna jeshi la kulinda amani Lebanon?
 
Hizibullah watakuwa wajinga sana kama wana uwezo wa kushinda Israel halafu hawafanyi na Israel inakalia maeneo ya waarabu k2a mabavu.
Hizbullah ni stupid group.
Au ni double agent.
Waipige Israel mara moja.

Nadhani hawana uwezo
UN iiliweka jeshi la kulinda amani Lebanon ili kumlinda myahudi dhidi ya hizbollah
 
Sabab hizbullah Ni chama cha siasa cha kilebanon
Ila unajua kama wanajihusisha na harakati ambazo zinahusisha vita wakati LEBANON wanajeshi lao kamili pia kujihusisha na siasa sio kigezo yakwamba jamaa ni UN member ila kipigo kiliwakolea jamaa mpaka UN wakaona wakatoa sapot kwajamaa laasivyo mambo yangekua mabaya zaidi×10
 
Ile vita ilianza baada ya hezb kuingia israel na kuwateka wanajeshi wa israel,,israel baada ya vita kusimama haikuwa imewakomboa wanajeshi wake,,hilo ni moja,,hezb hawakuwa na kusudio jingine zaidi ya kukamata askari wa isrEl ili waje kubadilishana wafungwa,,hilo lilifanikiwa,
Israel lengo lake,ilikuwa ni kuliteketeza jeshi la hezb,,hawakufanikiwa,
Lengo jingine ilikuwa ni ,israel kuchukua maeneo hadi ng'ambo ya mto litani,,hawakufanikiwa,
Walichofanikiwa sana ni kuharibu miundo mbinu na kuua wamama na watoto waliokuwa wakikimbia barabarani kukwepa vita,
Ngoja nitafute stastic nikuwekee hapa
Mnazimu mkuu wa jeshi la hizbollar
 
Back
Top Bottom