johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,914
- 141,866
Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani.
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia ambaye alipita hapo Handeni akiwa makamu wa Rais awasaidie.
Chanzo: ITV habari
RIP Magufuli!
Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia ambaye alipita hapo Handeni akiwa makamu wa Rais awasaidie.
Chanzo: ITV habari
RIP Magufuli!