Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,444
- 11,942
Management imefeli mapema kabla ya mchezo kuanza! Kumsimamia mwanamuziki sio kuwa na pesa tu au kuwa chawa wake, lazima uujue muziki kweli kweli na fitina zake zote na unapomchukua msanii ambae ameshajengwa na wengine ujue kazi ilifanyika hivyo na wewe uwe mwamba kweli kweli.
Swala dogo kama hili haikupaswa lifikie hatua hii ya fedheha, huyo Mkenya alipoanza kulalamika tu watu wangesha kwea pipa na kumfuata issue ikaisha mezani mambo yakaendelea na sio kumpuuza! Pale WCB unapoona wakongwe kina Tale, Fella na Sallam usifikiri wanachoma mahindi pale.