Baada ya Ghorofa la Tenesco kudondoshwa naona ujenzi wa Interchange ya ubungo unafanyika kwa kasi ya ajabu

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,879
8,800
Ujenzi wa interchange ya Ubungo unavyoenda kwa kasi baada ya kuangushwa kwa lile ghorofa,naona haitachukua tena 36 months badala yake by the end of next year tutakuwa tunapiga picha pale
 
Zege halikauki kwa matamko na mihemko... ikisema miezi 36 fahamu ni hvyo au zaidi...
 
Ujenzi wa interchange ya Ubungo unavyoenda kwa kasi baada ya kuangushwa kwa lile ghorofa,naona haitachukua tena 36 months badala yake by the end of next year tutakuwa tunapiga picha pale
Evidence = picha
 
Back
Top Bottom