Wakati anamalizia kipindi cha maswali na majibu, mheshimiwa Spika amekuwa anasisitiza kuwa katika hifadhi ya Ngorongoro kuna faru anaitwa faru Ndugai.
Na faru huyo akipotea itakuwa patashika hapo Bungeni kama lilivokuwa katika sakata la faru John.
Wakuu mnisaidie; Hivi hawa faru huwa wanapewa majina ya viongozi maarufu tuu?
Maana juzi juzi tulimsikia faru John, leo tena Faru Ndugai. Inawezekana kukawepo faru Kirerenya Kweli?