Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na inayotumia umeme, ni hatua kubwa za kimaendeleo zilizozoeleka kwenye Nchi tajiri. Katika Afrika, inaelezwa kuwa, Treni kali kama tunayojenga ziko katika Nchi za Morocco na South Africa (sijui za Ethiopia na Kenya ni za kundi gani?), huku ya Tanzania ikitajwa kuwa ndiyo ndefu kuliko zote barani Afrika.
Ukiangalia muonekano wa Treni za Morocco, SA, Ethiopia na Kenya; utaona tofauti kubwa ya kimvuto. Mvuto duni wa SGR ya Kenya, ndio uliosababisha Wakenya wengi kulalamikia Wachina kwa kuwahadaa na kuwaletea Treni zisizo na mvuto tofauti na waliyokuwa wakionyeshwa kwenye vyombo vya habari.
Tunakuomba sana Rais wetu John Pombe Magufuli, Omzilankende, ulitupie jicho suala hili kwani mvuto wa Treni ni kitu muhimu kutokana na gharama zake. Ni bora tuambiwe gharama kuongezeka kuliko otherwise halafu tunapata Treni kama za Kenya. Ni ushauri tu.
Morocco
South Africa
Kenya
Ndo hii ya Tanzania?