Baada ya Euphoria ya Dreamliner: Je, Rais Magufuli atanunua Treni zenye mvuto kuliko za Kenya na Ethiopia?

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na inayotumia umeme, ni hatua kubwa za kimaendeleo zilizozoeleka kwenye Nchi tajiri. Katika Afrika, inaelezwa kuwa, Treni kali kama tunayojenga ziko katika Nchi za Morocco na South Africa (sijui za Ethiopia na Kenya ni za kundi gani?), huku ya Tanzania ikitajwa kuwa ndiyo ndefu kuliko zote barani Afrika.
Ukiangalia muonekano wa Treni za Morocco, SA, Ethiopia na Kenya; utaona tofauti kubwa ya kimvuto. Mvuto duni wa SGR ya Kenya, ndio uliosababisha Wakenya wengi kulalamikia Wachina kwa kuwahadaa na kuwaletea Treni zisizo na mvuto tofauti na waliyokuwa wakionyeshwa kwenye vyombo vya habari.
Tunakuomba sana Rais wetu John Pombe Magufuli, Omzilankende, ulitupie jicho suala hili kwani mvuto wa Treni ni kitu muhimu kutokana na gharama zake. Ni bora tuambiwe gharama kuongezeka kuliko otherwise halafu tunapata Treni kama za Kenya. Ni ushauri tu.
IMG_4970.JPG

Morocco
IMG_4983.JPG

South Africa

IMG_4968.JPG

Kenya

IMG_4963.JPG

IMG_4975.jpg

Ndo hii ya Tanzania?
 
Attachments

  • IMG_4962.JPG
    IMG_4962.JPG
    227.6 KB · Views: 35
IMG_4964.JPG

Najua hatuna uwezo wa kuwa na yale matreni yaliyochongoka, ambayo yana mvuto mkubwa na wa kipekee katika Railway Industry.
 
Ninachompendea Magufuli ni hiki:Hana uoga linapokuja suala la kufanya maamuzi na hasa yale magumu.Suala la kama amekosea au amepatia ni suala jingine.Tumpe support atatuoa.People tend to resist changes, Aluta Continua
 
Naona una point coz changamoto ya kutofanyiks maamuzi, huwa linachelewesha haki na maendeleo.
 
Navyojua itakuja Bombadia ya SGR itakua bora liende...by the way magufuli hana uwezo wa kununua hizo treni bali serikali ya Tanzania ndo yenye uwezo wa kununua hizo treni
 
Ninachompendea Magufuli ni hiki:Hana uoga linapokuja suala la kufanya maamuzi na hasa yale magumu.Suala la kama amekosea au amepatia ni suala jingine.Tumpe support atatuoa.People tend to resist changes, Aluta Continua
Khaaa mkuu, unasema atawafanyaje?! Aishie huko huko kwenu.
 
Back
Top Bottom