Baada Ya Dr. Sllaa kuisambaratisha CCM, makada wa CCM kutimkia chadema!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada Ya Dr. Sllaa kuisambaratisha CCM, makada wa CCM kutimkia chadema!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 17, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Hili lisiwashitue maana sasa hivi makada wa CCM ni njaa tu imewaweka huko na wala siyo mshikamano wa ki-itikadi na baada ya JK na CCM kupigwa mwereka na Dr. Slaa usishangae kuona kadamnasi ya makada wa CCM wakikimbilia chama kipya tawala cha Chadema.

  Kitakachowapeleka huko ni kusaka ulaji wa vyeo serikalini zikiwemo kandarasi mbalimbali na ibada ya kuizika rasmi CCM mimi ndiye nitakuwa kasisi wake nikisaidiwa na Malaria Sugu.


   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Halafu nyie jamani, ina maana makamba atasema WANA CCM wana Kiherehere? duh cant wait to see makamba akiifagilia CHADEMA....

  Dr Slaa for Presdaaaaaaaa 2015
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ruta,
  Sitaki kuamini kuwa serikali ya Dr Slaa nayo itatoa hivyo vyeo na kandarasi kwa utaratibu kama huu wa CCM wa vyeo kwa kujuana na kandarasi kwa kina richmond nk!
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Makamba atakimbia hii Nji
   
 5. S

  Selemani JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kulikuwa kuna post za ajabu ajabu katika mwezi huu uliopita. JF folks wanapenda sana ku-react na instant newsbites. Watu hawaangalii mbali. Inanikumbusha kipindi kile CCJ ilivyoanzishwa, palikuwa hapatoshi humu ndani.

  Anyways, big picture people.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  shangilia wizi wa kura na JK dhuluma aliyowafanyia watanzania...................naona hapo ndiyo patatosha......................
   
 7. S

  Selemani JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pole kaka. Quoting Jakaya. Tunajenga nyumba moja, tusigombanie fito. InshaAllah 2015. Chadema mchango wenu umeonekana, CCM sasa hivi itakuwa makini.
   
Loading...