Baada ya Dr. Slaa kufunua nyongeza; Sheria ya "mbwembwe" ni batili?

huyu ni rais wa tamaa tu hana jipya, ni mvivu wa mawazo, na mfinyu wa hekima, kazi kuoa oa tu, na hamchi Mungu ndiyo maana hana maarifa,
 
mama salma ana mdogo wake katika ndoa, kapo kengine ka kipenba mchanganyiko na kiarabu
OOOH , sasa naanza kuona mwanga wa kwanini mkuu huyumba katika vitu vinavyohitaji concentration kuubwa, kumbe wakati wengine wanawaza namna yakumkomboa Mtanzania masikini mkuu anawaza ndoa nyingine.
oooh asante sana, maana mama Salma ni shahada ya pili, shahada ya kwanza alikuwa mama wa Ridhwan Kikwete, oooh.
 
Nimependa ulivyoweka habari! Tumezoea wale wenzetu wanakopi gazeti zima na kumwaga hapa! Hivi JMK huwa anamuda wa kusoma anachosign? ama mwenzetu ni ceremonial president?

attachment.php
Two hundred thousand = 300000
400_F_18520945_XfH23YKbRRVnnR4wvWnyAoDTtnexwVuJ.jpg
 
Hiyo habari ya cheki ilishajadiliwa sana hapa JF mwaka 2008 na Ikulu nafikiri walikubali hilo kosa. Hiyo thread ipo hapa hapa JF na ilikuwa vituko kweli kweli. Hata magazeti yaliinasa na kuiandika.

Ni kweli mkuu, hii cheki aliyoshika mkubwa ilijadiliwa sana hapa. Labda suala kubwa la kujadili hapa ni umakini wa raisi wetu katika masuala yanayogusa taifa. Anahitaji kuwa makini kupita kiasi!
 
Hawa wasaidizi wa mkulu wanamuangusha sana kwakweli. Wanamtwisha mzigo mkubwa sana.
Kwanini lakini mnamungusha raisi? Mkuu unahitaji mapinduzi makubwa sana katika jopo lako la wasaidize. Try zero tolerance aproach. watu wanapofanya uzembe unao affect umma mzima wa Tanzania sioni sababu ya kuwaacha. Hivi ni kosa la nani? aliongeza kipengele au aliyosaini mswaada kuwa sheria?
 
Kwa sababu anaangushika............
 
Nimependa ulivyoweka habari! Tumezoea wale wenzetu wanakopi gazeti zima na kumwaga hapa! Hivi JMK huwa anamuda wa kusoma anachosign? ama mwenzetu ni ceremonial president?

asante,,,
nilikua natafuta lugha sahihi ya kuiita hii (red) hakika...
maana vituko na mambo yatokeayo thz days!!adi upupu mtupu
 
ni kweli ndugu zangu wana janvi mkuu amechukia sana juu ya taarifa hii na amejua kuwa kuna vipengele vimeingizwa humo ambavyo bunge halikujadili.
kila mtu amekabna kuhusika, amechukia kupita maelezo. jana jion alisema hivi '' naona kuna watu wanataka kunigeuza kama chapati kwenye kikaango'' ikiwa hivi wanafanya vile. sasa tutashughulikiana.
vijana wake watiifu wapewa kazi ya kufatilia na kujua nania amedumbukiza vipengele hivyo huko ndani
 
Someone should be made accountable if he will not choose to be accountable himself.
 
ni kweli ndugu zangu wana janvi mkuu amechukia sana juu ya taarifa hii na amejua kuwa kuna vipengele vimeingizwa humo ambavyo bunge halikujadili.
kila mtu amekabna kuhusika, amechukia kupita maelezo. jana jion alisema hivi '' naona kuna watu wanataka kunigeuza kama chapati kwenye kikaango'' ikiwa hivi wanafanya vile. sasa tutashughulikiana.
vijana wake watiifu wapewa kazi ya kufatilia na kujua nania amedumbukiza vipengele hivyo huko ndani
mmmh, kama JK anaubavu wakumshughulikia mwanasheria mkuu wa serikali nitashangaa, ikiwa mpaka leo anamwogopa Chenge pamoja na kila ushahidi kuonyesha anahusika na kila hujuma mbaya hapa TZ, ingekuwa rais mpambanaji kufikia Muda huu tayari kuna watu wangekua wametemeshwa mzigo kwa kutomsaidia mkuu kuingia kwenye matatizo ya aibu kama haya.
 
Kwi kwi kwi!
Mwanangu Chenge hagusiki hata kwa bulldozer, na wao sisiemu wanalijua hilo. Ingekuwa sisiemu wanajua kuwajibishan basi wangeshamvua madaraka Chenge kule kwenye NEC, kutokana na kushiriki rushwa ya radar na mizengwe mingine alipokuwa waziri wa miundombinu!
Kuna siri imefichika ya "Kwa nini Chenge haadhibiwi".
TIme will tell
 
Chenge anaadhibika ikiwa tu ataacha kutoa ushiikiano kwa wanaCCM wapale makao makuu katika kutunza siri nyeti na nzito kama ambavyo anaagizwa.....otherwise adhabu sawa na ya Salome
Mbatia inaweza kuwa juu yake. kwani yuko wapi dereva wa lile Roli lililoleta ajali ile, je namba zake unazo, nnchi hii bana.
 
Siwezi amini hayo maneno, labda huyu aliyeleta hii thread kayatunga au gazeti limetunga, kwa watu wenye kufikiri hawwawezi amni eti raisi asaini kitu ambacho hata hajakipitia, am sure there's something wrong somewhere----------the source is not guaranteed
 
.......otherwise adhabu sawa na ya Salome
Mbatia inaweza kuwa juu yake. ....

Labda hii inawezekana, ila huenda hao ambao ni watekelezaji wa adhabu hiyo ni mabest zake, kwa hiyo wanaona uchungu. Kumbuka kwamba hawa jamaa huwa wanavujishiana sana siri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom