Baada ya Don Nalimison kukosa Kitambulisho kipya Cha Taifa(NIDA) amepata Kitambulisho Cha MKAZI kwa jina Jipya

Ze Don nahisi wahitaji msaada hasa wa ushauri wa kisaikolojia. Usione haya au aibu kutafuta wataalamu ushauri au watumishi wa Mungu wanaweza kukushauri na ukawa na utulivu maishani mwako.

Ukiendelea hivi utaumia zaidi, sisi wanadamu tulio wengi ni wanafiki sana. Tutakubeza na kukunanga kwa maneno ya kukuumiza zaidi.

Mwenyenzi Mungu akusaidie na kukurehemu.
 
Don
FB_IMG_1595424231685.jpeg
 
Tanzania hakuna WATUMISHI wa Mungu Kuna Matapeli tu.
 
Back
Top Bottom