Baada ya Dkt. Ulimboka..........Tunamtaka Dkt. Mkopi kuwa makini sana kwa hatari inamnyemelea....

Blood Hurricane

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
1,175
301
Kwa hali ilivyo inabidi Dkt. Mkopi awe makani sana katika kipindi hiki.

Kwa habari za ndani watoa roho walio tumwa walikuwa wakihaha usiku na mchana kuhakikisha ya kwamba na yeye wanamuingiza mtegoni kwa namna yoyote ile na kumfanyia kama Dkt. Ulimboka.

Dkt. Mkopi chukua tahadhari sana, kwani hizi habari nilizokuletea humu ni za ndani mno na nimezitoa jikoni. Nimechoshwa na dhuluma kwa Watanzania nimeamua kuwa mkweli na kupinga maovu ndani nchi hii.

Sioni uoga kumwaga ugali humu na bado. Mengi yanakuja.

Kama mbway mbway tu.
 
Kila tukio lina fundisho ndani yake, je tumejifunza nini? Mlinzi mkuu ni mungu, je matendo yako yanaendana na kumpendeza mungu?
 
Kujilinda kwa juhudi zake ni ngumu sana. Ni juhudi za jumla za Wanatanzania ndizo zitamwepusha na zahma, lakini pia zitazuia au kupunguza vitendo vya namna hii kwa watu wanaowindwa na mkono wa dola.
Tuamke tutetee haki zetu.
 
Kwani Si Raisi kwenye Simulizi zake alisema kuwa Dr. Mkopi alivyoitwa mahakamani yeye amekana kuwa yeye siye chanzo cha mgomo?Bado wanahitaji roho yake?ila kama ni kweli amewasaliti wenzake!na dawa ya msaliti siku zote inajulikana
 
Back
Top Bottom