Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Vipesa vichache mpaka watuoneshe je kama wameazima za kupigia pichaa!!! Umajinuni tuuu
Vipesa vichache mpaka watuoneshe je kama wameazima za kupigia pichaa!!! Umajinuni tuuu
kaazima kwa madame kupigia picha.Ila haka kavulana kanaonekana katamu sijui vya ndani lo itabidi tumuulize gambe
achaa tamaa bintikaazima kwa madame kupigia picha.ila haka kavulana kanaonekana katamu sijui vya ndani lo itabidi tumuulize gambe
achaa tamaa binti
KUMBE....mmmmh mi mgeni.wivi sina ila roho inaumafreedom of speech
KUMBE....mmmmh mi mgeni.wivi sina ila roho inauma
wale wale vipi tena....na wewe cheupe jamani.....basi isiwe ngondo.Si ungesema sasa ya nin kumwambia ana tamaa wakti na wewe wale wale
Money brings happiness power respect problems enemies and a lot of fake friends but its good to have it morng instagram, ameandika Jux kwenye picha aliyoiweka leo Instagram inayoonesha akiwa ameweka mapajani mkwanja mrefu.
wale wale vipi tena....na wewe cheupe jamani.....basi isiwe ngondo.
raster hana wivu banaaSi umesema roho inauma ila wivu huna, hua ni uongo hilo neno nakwambia yaani wivu tuuu
Ni msanii wa tasnia gani?