Baada ya CWT kushidwa kutatua matatizo ya walimu, walimu wa sayansi kuunda chama chao

Mh yani mziki wanaoupata walimu wa sayansi ni sawa ma mziki wa wanafunzi akeshe sana ili apate japo ka " D" ka math...Kuna kila aja ya hawa walimu kujitenga kwani uzito wa Taaluma yao ni tofauti kabisaaa nakumbuka mwl wangu wa advance alivyokua anasolve math,physcs ngoma zinamkomalia na sie tulivyokua tukikisha still matokeo yakitoka mpaka unajuta kuyasoma aya masayansi...pia walimu wa sayansi always hua km wanafunzi kwani kila siku wanakomaa na book as if ndo watarajiwa wa kufanya mitihani mwisho wa yote hawa walimu hua wanapata stress ata vaa yao mh tofauti na walimu wa art na wengine hua wanachizika kwa kusoma sana ili next day wakashushe madude...serikali lazima itambue hili group sio siri wote tumepita uko na mziki tumeuona
 
Back
Top Bottom