Baada ya CHADEMA kubweteka, Tanzania hatuna chama mbadala cha kuwasumbua CCM

Usipepese mdomo! Utakuwa una maanisha tundu lisu alipigwa risasi hadharani, usitumie neno mbunge kumpa heshima ambayo hakustaili wakati anapigwa shaba.

Yawezekana hujui mambo ya hovyo aliyowafanyia watu tundu lisu ktk nchi hii akitumia fani yke ya sheria.

Tundu lisu kaumiza watu sana ktk nchii kuliko jambazi yyte aliyegonga milango ya watu usiku.

Zile risasi zilizomkoswa koswa amshukuru mungu kwakumpa nafasi yapili kujilekebisha badara yakuendelea kuwatukana na kuwasema vibaya watu aliowahujum katika nchi zinazomlipa pesa zakula yy na mke wake na wtt wake.

Aombe msamaha na arudi nyumbani.
Yaani umeandika kama unawazimu kabisa! Tena mwandiko wako kama wa mwenyekiti wa CCM...umekaa kiwazimu tu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom