Baada ya CCM kuzidiwa nguvu na CHADEMA kata ya Daraja mbili, Wapanga umafia dhidi ya Lema

ccm wamebanwa!!! takwimu za umiliki wa mpira zinasomeka chadema 92% na ccm 8%
ccm wanaomba mvua kubwa inyeshe mechi iahirishwe, lakini hakuna hata dalili za wingu, jua linawaka kisawasawa, tunasubiri siku ya siku.

We mkali kiubunifu.Hizo takwimu za ball possesion ni kweli sasa wasibiri '15 watakiona. Serikali inayumba kuendesha inchi coz ya nguvu ya umma kudai haki yake. Utadhani Campaing zinaendelea.
 
Mkuu TIQO taratibu kidogo unajua wakati mwingine kupenda sawa na upofu.Maneno anayosema Lema yawezakuwa mkakati wake wa kukwepa mkono wa sheria usimfikie.

Tuhuma za Ngongo ni usanii?
 
Last edited by a moderator:
Kwa serikali hii iliyojaa mafioso ambao kwao uhai wa mtu ni kama wa panya tu, hili la kubambika madawa ya kulevya na silaha linawezekana kabisa. Wamefikia mpaka kumuua RPC kwa sababu ya kung'amua hili kundi la kimafia ndani na nje ya jeshi la polisi, itakuwa kuplant madawa ya kulevya ofisini kwa Lema? Lets be serious na hizo njama za kigaidi.
 
Mkuu hayo ni maneno kutoka kwenye kinywa chake tunataka ushahidi; yeye kama ni mkweli na aje uthibitisho tunachokataa asije akakutwa na kosa la kuvunja sheria akadai ni njama za serikali. Chama Gongo la mboto DSM
Wewe unaomba uthibitisho upi?Mbona ule wa mtoto wa mkulima kulidanganya bunge mliuweka kapuni
 
Stori nyingine ni za kitoto qwelqwel yaani watu mpo katk Kampeni za Udiwani unahadithia ETI MAHAKAMA IMENINYANG'ANYA FUNGUO ZA OFISI YANGU NA KUKAA NAZO HALAFU WAJE NAZO TENA KUFUNGUA NA KUKUTA SILAHA NA BANGI.
HIVI KWELI INAINGIA AKILINI MAANA YA KUKABIDHI OFISI UTACHUKUA FUNGUO BILA KUANGALIA MMEACHA NINI? JE MWENYE OFISI YA bUNGE AKIDAI KULIKUWA NA MLIONI 500 NA HATI YA kIWANJA HAVIPO MAHAKAMA ITAKUBALI KWELI
tafuteni sababu nyingine nyie Machalii pangeni mikakati ya ushindi wa Udiwani kata hizo 2 na kusubiri kama Rufaa ya kesi hapo J3 itakuwaje msitudanganye hapa JF
 
Back
Top Bottom