Baada ya CCM kuzidiwa nguvu na CHADEMA kata ya Daraja mbili, Wapanga umafia dhidi ya Lema

Mkuu hayo ni maneno kutoka kwenye kinywa chake tunataka ushahidi; yeye kama ni mkweli na aje uthibitisho tunachokataa asije akakutwa na kosa la kuvunja sheria akadai ni njama za serikali.

Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi chama unadhani kuna mtu anayeweza kufanya jambo lolote Tanzania Polisi au TISS wasijue? la hasha, ukiona hawasemi au kujifanya hawakugundua siyo kwamba kweli hawakugundua bali wapo wenzao waliohusika wanamfichia siri au wamepewa chochote kuna maslahi. Usijidanganye hata siku moja.
 
Mkuu nakubaliano na wewe nilichosema aweke hadharani haya maneno ya kudai kuna njama tumeshayazoea si mageni kwenye medani za kisiasa ili yakomeshwe lazima yawekwe wazi ili wahusika wachukuliwe hatua ni hilo tu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwa mbinu hizo waeleze kuwa wameangukia pua kwani intelijensia ya CDM ni zaidi ya CIA. Tupo pamoja makamanda ila maombi mbele daima.
 
ccm wamebanwa!!! takwimu za umiliki wa mpira zinasomeka chadema 92% na ccm 8%
ccm wanaomba mvua kubwa inyeshe mechi iahirishwe, lakini hakuna hata dalili za wingu, jua linawaka kisawasawa, tunasubiri siku ya siku.
hapa patam sana kumbe kuna game tam hivi angalia watamchakachua lefa atoe penalt nyingi kwa ccm. I cant emagine LISU akipiga beck 4
 
Mkuu nakubaliano na wewe nilichosema aweke hadharani haya maneno ya kudai kuna njama tumeshayazoea si mageni kwenye medani za kisiasa ili yakomeshwe lazima yawekwe wazi ili wahusika wachukuliwe hatua ni hilo tu

Chama
Gongo la mboto DSM
uwaz umeshindwa kujisimamia coz mkuu wa nchi hata ukimuonyesha fisad huyu hapa kamata atakwambia ntaunda 2me ya uchunguz
 
lema tuko nyuma yako.tunaahidi taarifa zote nyeti za kuhujumu chadema zitavuja !
 
kama kweli ni siasa chafu zisizo na tija kwa taifa wakumbuke upinzani c uadui
wanajua hilo hao ccm? wanacho waza ni masilahi yao binafsi hata kama wakiona the whole world is against them.siwapendi kama vibwengo.
 
Hawa Ccm na serikali yao Dhaifu pamoja na Kikwete wao wamepalalaizi hawa watu,Nimeona ati Naibu waziri wa elimu Mulugo anasoma hutuba yuko Tanzania imetokana na visiwa vya Pemba na Zimbabwe sasa jamani watu wakiambiwa ccm ni janga la kitaifa hawataki kuelewa
Ss ukijua Chadema wana Mungu na walianza na Mungu na watamaliza na Mungu hapo Daraja mbili na kitaeleweka tu mpaka sasa nahesabu diwani wa Chadema anasubiria kuapishwa maana wameshashinda
 
Hilo linawezekana kabisa wanapoishiwa hoja na kutokubali kuwa Malema anapendwa na anawafuasi wengi kuliko wao
 
Lema ni mzushi tu! Serikali inajua kuwa alikuwa anafanya bihashara hizo wala hasijiami kabisa kupitia jukwaa la kisiasa. lema anajua anachokifanya ila wananchi wanabaki ushabiki tuu. tuwe makini na si asa za majukwaaani. muulizeni SA alikuwa ana kazi gani?
 
ccm wamebanwa!!! takwimu za umiliki wa mpira zinasomeka chadema 92% na ccm 8%
ccm wanaomba mvua kubwa inyeshe mechi iahirishwe, lakini hakuna hata dalili za wingu, jua linawaka kisawasawa, tunasubiri siku ya siku.

ball possession na ufungaj magoli ni vitu viwili tofaut, unaweza ukamiliki mpira sana na bado ukafungwa vilevile
 
Lema ni mzushi tu! Serikali inajua kuwa alikuwa anafanya bihashara hizo wala hasijiami kabisa kupitia jukwaa la kisiasa. lema anajua anachokifanya ila wananchi wanabaki ushabiki tuu. tuwe makini na si asa za majukwaaani. muulizeni SA alikuwa ana kazi gani?
mkuu inawezekana ni sahihi ukisemacho,lakini watu wa aina hiyo waliopo serikalini ni wengi kuliko upinzani.mfano malima!
 
Lema ni mzushi tu! Serikali inajua kuwa alikuwa anafanya bihashara hizo wala hasijiami kabisa kupitia jukwaa la kisiasa. lema anajua anachokifanya ila wananchi wanabaki ushabiki tuu. tuwe makini na si asa za majukwaaani. muulizeni SA alikuwa ana kazi gani?

Hoja zingine zinakuacha mtu uchi,vua miwani itazame serikali na ccm yake kisha utapata jibu
 
Back
Top Bottom