COMMAN
Senior Member
- May 1, 2012
- 110
- 47
ndugu wanajamvi niko hapa mbeya.serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha teofilo kisanji au kwa kifupi TEKUSO ilifanya uchaguzi kupata viongozi wapya siku ya jumamosi,matokeo ya awali yalionyesha mgombea ambaye anapigiwa chapuo na chuo pamoja na CCM ameshindwa vibaya.hii ni baada ya juhudi za awali za wizi wa kura kushindikana.tume ya uchaguzi ilizuiwa kutangaza matokeo.mpaka leo ambapo wametoa tanzazo la kufuta matokeo ya uraisi na uchaguzi urudiwe.
tetesi zilizopo ni kwamba kinataka kimpige chini mgombea aliyeshinda awali ili kubaki na wagombea ambao wanakubalika na ccm.MSHINDI ALIKUWA MJENGWA. inasemekana ziara ya mwigulu nchemba mbeya mjini siku ya jumamosi ilikuwa na lengo la kuhakikisha ushindi hata kwa wizi katika chuo hicho.