Baada ya CCM kuzidiwa matokeo uchaguzi wa raisi yafutwa teofilo kisanji univesity.

COMMAN

Senior Member
May 1, 2012
110
47
ndugu wanajamvi niko hapa mbeya.serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha teofilo kisanji au kwa kifupi TEKUSO ilifanya uchaguzi kupata viongozi wapya siku ya jumamosi,matokeo ya awali yalionyesha mgombea ambaye anapigiwa chapuo na chuo pamoja na CCM ameshindwa vibaya.hii ni baada ya juhudi za awali za wizi wa kura kushindikana.tume ya uchaguzi ilizuiwa kutangaza matokeo.mpaka leo ambapo wametoa tanzazo la kufuta matokeo ya uraisi na uchaguzi urudiwe.

tetesi zilizopo ni kwamba kinataka kimpige chini mgombea aliyeshinda awali ili kubaki na wagombea ambao wanakubalika na ccm.MSHINDI ALIKUWA MJENGWA. inasemekana ziara ya mwigulu nchemba mbeya mjini siku ya jumamosi ilikuwa na lengo la kuhakikisha ushindi hata kwa wizi katika chuo hicho.
IMG_20130604_140111.jpg
 
Du hapo iko kazi make hata chuo chenye mtazamo na maadili ya Kanisa nacho kinaweza kuruhusu upuuzi wa kuungana na MAGAMBA kumchakachua Kamanda aliyeshinda kihalali?

Mama wee YESU rudi haraka ama kweli chini ya mbingu hakuna yeyote anayekutafuta wewe katika roho na Haki.

Haya Kamanda yetu masikio na macho tu
 
Hakikisheni mnaweka Makamanda wengine wengi, ili wakimchakachua huyo mmoja, basi mbaki na makamanda wengine!!
 
ndugu wanajamvi niko hapa mbeya.serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha teofilo kisanji au kwa kifupi TEKUSO ilifanya uchaguzi kupata viongozi wapya siku ya jumamosi,matokeo ya awali yalionyesha mgombea ambaye anapigiwa chapuo na chuo pamoja na CCM ameshindwa vibaya.hii ni baada ya juhudi za awali za wizi wa kura kushindikana.tume ya uchaguzi ilizuiwa kutangaza matokeo.mpaka leo ambapo wametoa tanzazo la kufuta matokeo ya uraisi na uchaguzi urudiwe.

tetesi zilizopo ni kwamba kinataka kimpige chini mgombea aliyeshinda awali ili kubaki na wagombea ambao wanakubalika na ccm.MSHINDI ALIKUWA MJENGWA. inasemekana ziara ya mwigulu nchemba mbeya mjini siku ya jumamosi ilikuwa na lengo la kuhakikisha ushindi hata kwa wizi katika chuo hicho.
W
Wanakwenda vyoni kusoma au kufanya siasa haya bwana.
 
Ok tutalifanyia kazi baada ya kuwapima DNA hao waliofuta matokeo ya uchaguzi kama wana akili za meya wa jiji.
 
Du hapo iko kazi make hata chuo chenye mtazamo na maadili ya Kanisa nacho kinaweza kuruhusu upuuzi wa kuungana na MAGAMBA kumchakachua Kamanda aliyeshinda kihalali?

Mama wee YESU rudi haraka ama kweli chini ya mbingu hakuna yeyote anayekutafuta wewe katika roho na Haki.

Haya Kamanda yetu masikio na macho tu

Mkuu yaani nina bwana mdogo wangu anasoma hapo anasema tatizo ni uaongozi wa chuo hawajiamini hata kidogo ndo maana wanapelekeshwa na CCM. Huwezi kusikia upuuzi huu SAUT au Tumaini na huko inajulikana waziwazi wagombea na vyama vyao. Na unakuta hao watu tume ya watakuwa wameagizwa hivyo hata kama hakukuwa na kasoro. Dogo anasema mara zote uchaguzi wao huwa unaingiliwa sana na magamba kwa kutumia usalama wa taifa hooooovyoo kabisa.
 
Back
Top Bottom