Baada ya CCM kuzidiwa Arusha wahamisha mkutano wa madiwani kwenye ofisi ya Halmashauri ya jiji na kupeleka Ofisi ya mkuu wa Mkoa kwa mbinu chafu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Habari zinatanabaisha kutokea jiji la Arusha kuwa kuna mbinu zakumtoa naibu meya wa jiji la Arusha kwa figisu ambapo madiwani wa jiji hilo la Arusha kupitia ccm hawafiki akidi inayotakiwa licha ya wale waliosaliti kwa ulafi wa kipande cha samaki na kunenepesha Ngo'mbe Mnadani baado idadi yao ni ndogo ukilinganisha na akidi ya Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mbinu inayosemwa kutumika ni Polisi kuingilia mkutano huo nakua wasimamizi wa kura hizo mpaka kwenye kuhesabu Mwakilishi wa Mwanahabari Huru anayewakilisha Jiji hilo atatuletea habari zaidi

IMG-20180821-WA0015.jpg
 
"Kama nia yetu ni kukamata panya, kwa nini tunahangaika na rangi ya Paka" , sasa nimeanza kumuelewa mtoto wa Mnauye alimaanisha nini
 
Acheni uzushi, siyo mara ya kwanza mkutano wa Madiwani kufanyika ukumbi wa Mkoa
 
Back
Top Bottom