Baada ya bp kutangaza kutaka kujitoa;meli ya mafuta ya ndege yarudishwa bahrain

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
21,993
Kweli mjini shule
jamani wakati taarifa ya kutaka kujitoa kwenye soko
la maafuta tanzania wengine tumeisikia leo hii
Meli kubwa iitwayo MT PLADDER ikiwa na mafuta shede ya ndege
imerudishwa kurudi bahrain baada ya kuleta mafuta ya ndege ambayo baaya ya kupimwa na TBS yamekutwa hayana kiwango kabisa...ndipo ilipoamuriwa kurejeshwa.....
kazi kweli kweli
tanzania dampo la waungwana
 
Bora waonyeshe makucha yao nao du!! mara always sasa mafuta ..wanataka kutuua jamani
 
Kwa mara ya kwanza. Huwa wanatudanganya kwa kuteketeza vitivii vwa china.
Sasa hii ndo inafaa. Lakini kwa nn mpaka bp watishie kujitoa?
 
Hii ya BP kujitoa ni wake up call that TPDC should secure some market size of the petroleum products. Tutakuja kuleta balaa na haya makampuni yasioeleweka yanayoshamiri kwa kasi kila siku. They dont operate with standards. Wana uwezo kabisa wa kuagiza mafuta below requirements maana ni cheaper kwao.
 
Back
Top Bottom