Baada ya Belarus kuepukwa na rungu la travel ban kutoka Marekani, hatimaye kutembelewa leo na Mike Pompeo

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,074
2,000
Belarus walikuwa kwenye kundi moja na hizi nchi 6 zilizowekewa masharti jana ya kusafiri na kuishi nchini Marekani, mwanzo kabisa tetesi zilikuwa nchi 7 ndizo zitawekewa vikwazo ikiwemo Belarus.

Lakini jana ilipotoka taarifa ya nchi zilizowekewa vikwazo, Belarus haikuwemo na hatimaye leo watatembelewa na US Secretary of States mwenyewe bwana Mike Pompeo.

Pia hii inakuja baada ya miaka 25 ya Belarus kutotembelewa na kiongozi yoyote mkubwa wa Marekani. Katika ziara yake anatarajiwa kukutana na rais wa Belarus, Bwana Lukashenka pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje Bwana Makei.


Screenshot_20200201-125542.jpeg
 

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,145
2,000
Mkuu kwani Kazuiliwa Makonda peke yake Au Taifa zima?
Nchi zilizopigwa Ban 2018 Tanzania ikiwemo.
Sasa Kama Nchi tayari ilikuwa Imepigwa Ban? Ina maana gani kumpiga Makonda Ban wakati tayari ulishaipiga Ban Nchi yake?
Nieleweshe Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom