Baada ya ban ya mod, narudi kwa mtindo mwingine wa kifataki.

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Narudi kwa bwebwe, na mtindo ule ule wa kifataki na kisharobaro, huku nikiwa nimetupia ki sharo sharo
 
Ila hizi ban bana! Afu unakuta wengi wanapigwa ban kwa sababu tu alimtukana f.ala flani hvi,ndo maana mi naomba sana kuwe na jukwaa ambalo litakuwa ban free zone,hata kwa kulipia wengine tuko tayari,humu majukwaani kuna people znakera sana.pole kwa ban mkuu rudi kwa mikogo yote wakome na wewe
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom