Baada ya awamu ya tatu ya Benjamin Mkapa kumaliza muda wake, mtu sahihi wa kumrithi alitakiwa awe Magufuli. Nchi ingepaa sana

Kumbe mkapa alichukua nchi ikiwa katika GNI per capita $170. Muhula wake wa kwanza aliifikisha nchi katika GNI per capita $410. Wakati anaondoka iliacha GNI per capita $500.

Alipoingia kikwete, muhula wa kwanza alifikisha GNI per capita $720. Nawakati anaondoka aliacha GNI per capita $980.

Tena hii $1,080 aliieleza kikwete juzi, lakini kabla ya hapo tulikuwa tunaimbishwa wimbo wa kwamba tumeingia uchumi wa kati mapema kuliko muda ulio tarajiwa yaani 2025, bila kuambiwa tupo GNI ngapi adi sasa. Na kumbe matarajio ya hiyo 2025 ni GNI per capita $ 3,000. Ukiangalia hesabu zilivyo JK alibakisha GNI $ 56 tu kuingia uchumi wa kati lakini ndie rais anae onekana muovu na ameharibu uchumi wa nchi.

Muhula wa kwanza wa mkapa ni GNI per capita $240.
Muhula wa kwanza wa kikwete ni GNI per capita $220.
Muhula wa kwanza wa magufuli ni GNI per capita $100. Tena ukirudisha ile $20 ambayo magufuli aliipoteza katika $980 iliyoachwa na kikwete utapata jibu kwamba muhula wa kwanza wa magufuli amepata $80.
Na hapo amepiga marufuku shughuli za vyama vya siasa eti afanye kazi? Je Kama vyama vingeendelea na mikutano yake si ndo angeongeza negative kabisa? Utopolo
 
Mkuu Kama watu wanakula vizuri,wanalala vizuri na wanavaa (yaani body hygiene yao ikiwa vizuri)vizuri ni nadra sana watu hao kuugua ugua na kwenda hospital.ila ili watu waweze kula vizuri,walale pazuri na wavae vizuri wanahitaji kipato kizuri.Ndo maana wenzake walijikita kuongeza kipato Cha raia wa nchi ( target ikiwa USD 3000.00) Sasa yeye anajikita kuongeza umasikini na hospital,shame on him
Acha ujinga wewe..marekani katika state ya new york yenye watu million 18 ina hospital za kisasa 215. New york ndio jiji la gharama kabisa na maisha mazuri kwa marekani. Sasa hizo hospital sijui wanatibu popo.
 
Mkuu sasa ujinga wangu upo wapi hapo mbona umeaprove tu nilichokisema, The empire state watu 18 milioni 215,Tanzania watu milioni 55 hospital 700,huoni late yao ya kuugua ni ndo kuliko sisi? Lakini pia unatakiwa ujue mdogo wangu kuwa hospital si sehemu tu ya kutibu magonjwa
 
Duh..hesabu hiyo pia inakupa shida..sasa umeanza kukanusha hadi majukumu ya hospital.
 
Back
Top Bottom