Baada ya Aunt Ezekiel kuwa mtupu, Wema huyo sasa, mwenye macho aone

Status
Not open for further replies.
Hv wazaz wao wanapoyaona haya wanafanyaje au ndo wanawa2nza wazaz kupitia haya mmmh dunia imekwsh
 
Kweli Ney was right
hawa wasaniii wamechanganyikiwa kabisa
 
BAADA ya msanii wa filamu Salma Jabu ‘Nisha’, kulitaka Baraza la Sanaa la Taifa ’BASATA’, kumchukulia hatua kali msanii Aunty Ezekiel kwa madai picha zake za nusu utupu zinachafua maadili na kuwafanya wasanii wote waonekane wahuni,

naye amekuja juu na kumtaka Nisha afanye mambo yake na aache tabia ya kumfuatilia...

Ezekiel alidai kuwa haoni sababu ya Nisha, kumtolea maneno hayo kwani hata yeye ana matatizo yake hivyo anatakiwa kujichunguza yeye ndipo aende kwa mtu mwingine.

Alidai kwa sasa anatumia lugha ya kistaarabu zaidi yani haitaji bifu lakini akizidi kumfuatilia atachanua makucha, ingawa hana tabia ya kuchukuiana na mtu ila kwa hili hajakubaliana nalo kwani wapo wasanii wagapi wanakosea na hajawahi kutoa kauli kama hiyo.

Hata hivyo aliongeza kuwa asitake kutumia kauli za mpenzi wake Ney, kuwa makahaba wako bongo movie kwani hata mwenyewe ni mmoja wa wasanii wa tasnia hiyo.
 
Kweli Ney was right
hawa wasaniii wamechanganyikiwa kabisa

sio kuchanganyikiwa ni ulimbukeni tu.

madaha.jpg
 
Sijui huwa hawavai mwana ndani aka C-hupi??? halafu masaburi yenyewe yamerojeka kama yanataka kumwagika vile:flypig:
 
Afu amegeuka kabisa ili wapenzi wa Fiesta wapate thamani ya kiingilio chao. Lol.

Ila huyu mtoto na wenzie wanahitaji ushauri nasaa. Isije kuwa wanatumia unga.
 
Huyu hana akili kafanya hivi maksudi lengo lake asikauke kwenye magazeti ya udaku

Wema hapendi kufunikwa, aliona Anti alivyoandikwa andikwa akaona anamfunika so akaona ammalizie mbali kwa kuacha makalio nje kabisaa!
Wema ni thoooo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom