Baada ya Alshababu kusambaratishwa vibaya na KDF Serikali ya Somalia yaanzisha kikundi kipya cha Ugaidi dhidi ya Kenya

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,677
71,034
Hichi kikundi kama ilivyokuwa Alshabaab kina baraka zote kutoka kwa Raisi wa Somalia na lengo ni kutangaza jihad dhidi ya wapenda amani wa Kenya.

Ushauri wangu kwa Shujaa Uhuru Mwigai Kenyatta hio Serikali ya wahuni wa Mogadishu ni lazima iondoke kwa udi na Uvumba.
Sisi wana Afrika Mashariki tuko bega kwa bega.
 
Askar-8.jpg
IMG_173B2E-02A660-EBB983-ABB23A-7B5984-FD9691.jpg

Marehan Mujjahidin Movement
Lengo lao lingine ni kuhakikisha Afrika ya Mashariki inatwaliwa na Dola la Kiislamu.
Kuanzia Kenya hadi Msumbiji.
 
Hamna tishio lolote dhidi ya Kenya kutoka Ugandishu(vikosi vya Uganda ndio vinatawala Mogadishu). Kenya ilishajipanga zamani baada ya kuigawanya Somalia na kuanzisha jamhuri mpya ya Jubaland na kumueka kibaraka rais Ahmed Madobe madarakani. Jubaland ndio eneo la Somalia ambalo kwa sasa linapakana na Kenya, kutoka Ras Kamboni kuenda Kismaayo hadi Luuq kule Gedo.
 
Hamna tishio lolote dhidi ya Kenya kutoka Ugandishu(vikosi vya Uganda ndio vinatawala Mogadishu). Kenya ilishajipanga zamani baada ya kuigawanya Somalia kwa kuanzisha jamhuri mpya ya Jubaland na kumueka kibaraka rais Madobe madarakani. Jubaland ndio eneo ambalo sasa linapakana na Kenya kutoka Kismaayo.
Raisi wa Somalia ana mkono katika hili yeye pia anatoka katika kabila la Marehani
 
Hamna tishio lolote dhidi ya Kenya kutoka Ugandishu(vikosi vya Uganda ndio vinatawala Mogadishu). Kenya ilishajipanga zamani baada ya kuigawanya Somalia kwa kuanzisha jamhuri mpya ya Jubaland na kumueka kibaraka rais Ahmed Madobe madarakani. Jubaland ndio eneo la Somalia ambalo sasa linapakana na Kenya, kutoka Ras Kamboni kuenda Kismaayo hadi Luuq kule Gedo.
Kweli kabisa
1150385
 
Back
Top Bottom