Baada ya ACT Wazalendo kuifuta CUF Zanzibar, leo DSM-CUF kufutwa rasmi, kupokea wanachama zaidi ya 100,000.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
IMG_20190326_195827.jpg
 
Profesa na msajili wameiua CUF live live!!

Kweli Maalim wewe ni nouma,
Lengo LA msajili lilikuwa ni kummaliza maalimu kisiasa ili anufaike na 10% ya ruzuku matokeo yake kammaliza Swaiba wake Le profu kabaki analialia,Profu anamlazimisha aifute ACT kwa hoja ambahata hakimu wa mahakama ya mwanzo hawezi pata kosa kwenye hoja zile
 
MKUTANO hauwezi fanyika
Police-CCM watauzuia kwa amri ya Waziri Lugola
Wapinzani tafuteni njia ingine ya kufanya siasa
CCM isha kimbiwa na watu,mkija na njia mbadala 2020 mnawapiga easy!
 
Hii hatari sana hii... CCM tukae attention... Kaah..!! ACT mbona mnaanza kututisha
 
MKUTANO hauwezi fanyika
Police-CCM watauzuia kwa amri ya Waziri Lugola
Wapinzani tafuteni njia ingine ya kufanya siasa
CCM isha kimbiwa na watu,mkija na njia mbadala 2020 mnawapiga easy!
Tukiwaambia CCM si chama cha siasa wanatubishia, kuna jamaa mwingine kafunga ofisi kuu mjengoni kaenda kupiga kambi Zenji ...kama si uwoga ni nini hicho? Maalim kawavuruga ni balaa
 
"Polisi Wamevamia Ukumbi wa Mikutano wa PR Stadium (Karibu na Uwanja wa Taifa) ambapo Mkutano wa Ndani wa Viongozi wa ACT Wazalendo na Wanachama wa Mkoa wa Dar es salaam utafanyika na kulazimisha watu kutawanyika." Ado Shaibu, Katibu Mwenezi ACT Wazalendo
 
Tukiwaambia CCM si chama cha siasa wanatubishia, kuna jamaa mwingine kafunga ofisi kuu mjengoni kaenda kupiga kambi Zenji ...kama si uwoga ni nini hicho? Maalim kawavuruga ni balaa
Amepewa risala nzito Zanzibar-tumechoka kuwasaliti wazanzibari wenzetu.Bendera za ASP zinatafutwa zilipofichwa. Kumekucha Zanzibar.
 
Back
Top Bottom