Baada ya 2025, Magufuli Foundation mngependa ifanye nini...

Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Hakuna LA maana labda itahusika kurasimisha tunguli"
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Mimi ningependa ife kabla haijazaliwa kwa maana hilo jina linaendana sana na laana!
 
Ameshindwa akiwa rais wa nchi Akiwa na ki foundation ndio ataweza?mna utani sana.
Hahaha useme kashindwa nini, wao wanasema nchi zote za Afrika wanamtaka kwa jinsi alivyoipaisha Tanzania. Wewe unaposema kashindwa inabidi useme kashindwa nini,lini wapi.
Toa maoni foundation yake ijikite kufanya nini.
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Imrudishe Ben
 
Itumike kutoa elimu kwa vijana wa Kiafrika kuhusu uongozi, maana Magufuli kwa kweli ameweza kudhihirisha makubwa.
 
Back
Top Bottom