Baada ya 2025, Magufuli Foundation mngependa ifanye nini...

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
8,458
10,929
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
 
Maendeleo ni dira ya kitaifa kama ilivo USA uwe mpinzani utafata ajenda za kitaifa sio za kwako atuendelei sababu kila ajae huja na yake na hawezi kuyamaliza uja mwingine uanza na yake na ayamalizi
Angalao ungesema 2030, 2025 nimetumbukiwa nyongo. Unahitajika muda kunyorosha nchi hii ilivurugwa sana hapa juzi kati. Mara tu kusha sahau ule msemo wa mwanamfalme!!!
 
2025 ni muda mchache sana kwa mpenda mabadiliko kama Magufuli, ingefaa aongezewe muda kikatiba na iwe kwake tu , wa kwanza na wa mwisho kuongezewa muda
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Ifunge mafisadi
 
Ijenge barabara na madaraja
 
Ni vema Taasisi hiyo ijikite kwenye kusaidia familia za wazee wanaouawa huko geita kwa tuhuma za uchawi na isaidie kukomesha mauaji ya Albino hukohuko geita
 
Foundation with pure heart to love ur neighborhood, umewahi sikia Mugabe foundation, Hitter foundation au Mobutu foundation? labda wasiojulikana foundation hizi zipo kwenye tawala zote za kidikteta.Zinaitwa silence killing mashine kuanzia Mobutu, Mugabe, amin,Hitler,Mao nk walikuwa nazo
 
Wakurugenzi wawe watoto wa azori, Ben saanane,lissu hawa wataitendea haki jamii inayoumizwa na ukatili wa jamii husika

Back
Top Bottom