Baabu wa Loliondo na vita vya maji maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baabu wa Loliondo na vita vya maji maji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by John W. Mlacha, Apr 19, 2011.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Baab wa L amekuwa akivutia watu wengi sana, na wewe inaweza ukawa ni mmoja wa watu waliopiga dawa ya baab wa L, na kwa sasa hivi ukitokea na kupinga dawa ya baab wa l , watu watakushambulia kama vile hawakujui,ila kiukweli ni kwa sababu ya historia yetu sisi watanzania,(watanganyika) , kwa sababu kama wakati wa ile vita vya majimaji watu waliamini kuwa maji yana weza kuzuia risasi kwa nini sasa hivi wasiamini kuwa mizizi inaponya ukimwi ? na ni mwendelezo wa kizazi kile kile kilichopigana vita ya majimaji ,na kujipaka maji na kwenda vitani, viongozi wa ile vita kina Kinjektile ndio walikuwa wa kwanza kujipaka yale maji , na hakuna tofauti na kwa baab wa l, kina sumaye,mrema ,magufuli na wengineo walienda kupiga yale maji ya baab.sasa kwa nini tusifananishe kikombe cha baab na vita ya majimaji?
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Aisee inawezekana uliyoyasema yana ukweli historia huwa inajirudia miaka takribani 100 iliyopita yaani 1905 watu waliamini maji ya Kinjekitile kuwa yangeweza kuzuia madhara ya risasi, leo hii watu wanaamini tena nguvu ya maji si ajabu mwaka 2105-2111 kukawa na watz watakayo amini nguvu ya maji sijajua wakati huo maji yatahusishwa na nini kwani mwanzo ilikuwa kuzuia nguvu ya risasi za mjerumani, leo yanatibu magonjwa sugu labda mwaka huo 2105-2111 wakaamini maji yatawazuia wasife!
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Shukran!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  hahahaha!! a hapa sina hata la kusema
   
Loading...